Jamani ninahitaji kufanya manunuzi ya vitu mbalimbali online kwa kutumia CRDB card yangu. Nifanyeje? Masharti gan yanatakiwa kufuatwa ili niwe nanunua bidhaa kutoka america, ulaya ana asia kwa kutumia kadi yangu ya benki.
Hello Kaka,
Ukitaka upata experience nzuri ya kununua vitu kwenye mtandao hakikisha unazingatia vitu vifuatavyo
1. Kadi ya online purchase yenye usalama. Ni vizuri ukawa na kadi isioingiliana na account yako ya benki.
2. Kadi ambayo unaweza
a. Kuipata kwa urahisi na
b. Ku recharge kwa haraka
3. Kadi isiyokuletea errors nyingi wakati wa kufanya purchase.
Kwa experience yangu ya miaka mingi ya kununua vitu online, sikushauri kutumia kadi ya CRDB kwani
a. Ni kadi iliyolink na bank account
b. Ni kadi ambayo binafsi imeniletea errors nyingi kuliko kadi yoyote
Kadi ambazo nimezitumia ni CRDB, KCB na ABC.
The best so far kwa experience yangu ni ABC kwa sababu zifuatazo:
a. Kuipata ni haraka - inachukua dakika chache kumiliki hiyo kadi
b. Huhitaji akaunti ya benki kuwa na kadi hiyo - hiyo kadi imekuwa design kwa ajili ya online purchase.
c. Ukisha deposit pesa unaweza ukafanya purchase hapo hapo. KCB na CRDB inachukua muda.
Natumai hiyo info itakusaidia.
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Dr. Said is a medical doctor (MD), Entrepreneur and a home based business coach. He's the current CEO of
Strategic Marketing & Design, a company which helps business owners increase their profits using strategic marketing.
He spends most of his FREE time blogging about business, entrepreneurship and marketing on his blog site
SaidSaid.Net.
To learn more from him, make sure you subscribe to his
FREE Strategic Marketing Course.