Habari zenu wana jamii forum, ninaomba kama kuna watu wenye uzoefu wa kuagiza vitu online hususan katika aliexpress mnisaidie katika shipping adress,cna po box,halafu bado kuna vipengele bado kuna vipengele kama zip code/postal code kama vinavyoonekana hapo chini nimescreen shot,naomben tafadhali!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app