The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,336
- 3,236
ππππAnzisha yako,fanya creativities zako,hakika tutapata kilicho bora
Si kweli.Watu weusi na ubunifu wapi na wapi mkuu, wao waambie style za ngono ndio wanaweza kubuni, au mbinu za kudodge kazini ndio wanaweza
Ukweli ni upi?Si kweli.
Kuwa WA tofauti kupitia udhaifu WA wengine mkuuKama kichwa cha habari kinavyojieleza, online TV nyingi hapa bongo hazina ubunifu wowote. Mfano Kuna ulazima gani wakuipa jina lako? eg.Carl Peter's TV ilihali yako majina mengi tuu unaweza kubuni. Pili Hawajui kutafuta contents unakuta online TV inamuhoji dudu baya kila siku
Zipo online TV za bongo zenye ubunifu na zimespecialize kwenye content nyingine ukiachana na ngono kama vile technology, magari na habari. Ila kwakuwa nyie mkiingia youtube mnakimbilia maswala ya ngono basi mnaona online TV zote za bongo zipo hivyo.Ukweli ni upi?