OnLine Tv

OnLine Tv

Malingumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
616
Reaction score
429
Habarini!
Jamani naomba kuuliiza hilo!! Inahitajika nini na nini na nikamilishe nini ili niweze kufungua ONLINE TV?
-Mahitaji ya vifaa
-Mahitaji ya mamlaka serikalini

Asante.
 
Habarini!
Jamani naomba kuuliiza hilo!! Inahitajika nini na nini na nikamilishe nini ili niweze kufungua ONLINE TV?
-Mahitaji ya vifaa
-Mahitaji ya mamlaka serikalini

Asante.
TCRA umesha kata leseni kuhusu maudhui ya mtandao
Unatumia platform IPI kuhost hiyo online TV YouTube,inflix,Netflix,WordPress au blogger
 
Back
Top Bottom