Önly fans of Hiphop

Kuna Mchizi Mmoja alikuwa anaitwa Eddo Mtui,.Mshkaji alikuwa achani isipokuwa anahara..
 
Dogo hashim , dogo mwana haramu
 
Daah mkuu vizuri sana
 
Namkubali Nash kwasababu anafanya kazi ambayo kweli inatosha kuitwa MC ila kuna bwana anaitwa Salu Tee nae anafanya vizuri sana na anastahili kuitwa Mc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha huyu jamaa niliwahi msikia akitolea ufafanuzi kasoro za hawa wanajiita ma mc wa hapa bongo akasema wengi wao hawana battle skills ( yani sanaa ya upambanaji) vitu kama tamathali za semi (tashihisi, tashititi n.k) ndiyo maana hatuna watu kama kina FANANI, KBC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu Salu Tee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna neno wasanii wa hiphop hupenda kulitumia husema "wolizbon/wolazbon" spelling zake sizijui coz ni neno la kizungu,humaanisha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Word is Bond!!! Kwa wale ambao tumeishi na Black Americans New York,Ni slang inayotumiwa Sana na black Americans Brooklyn na Queens Bridge,huo Ni msamiati wa kawaida kabisa huku Newyork

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…