Önly fans of Hiphop

Önly fans of Hiphop

TZ boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
629
Reaction score
183
Kiukweli jamani naomba ufunguke....
Please thing twice nani TANZANIA anafaa kuitwa MC naona kila kona watu wanajiita ma MC sijui wanafata vigezo gani..?
 
Da namfahamu sana jamaa naona hafanyi mziki kwa sasa hila jamaa was real mc!! nikisikiza mapini yake tunasonga,in da shaddow,saa za kazi etc jamaa mzima sana kwenye mic

4 me only 1 realy mc in Africa jamaa cjui kwa nn aliacha game roho inaniuma watoto wanauwa hiphop
 
Mfuatilieni mtu anaitwa chief ramso ambaye kwa sasa anajiita zavara ndo mtajua nani anastahiki kuitwa mc wa bongo,nash emcee anaonekana anaijua hip hop kwa kuwa anapita anapopita zavarra na hata ukisikia nash anavyochana na mitambao utaona kuna mfanano kati yake na zavvara
 
muuza sura Zavara namjua vizuri unaweza mpata hapa www.tzhiphop.com hawa watu yani zavara na hashim dizani kama wame isusa game ya hiphop zavara kiukweli anaijua hiphop in deep xana namkubali from way back sio kina prof J wanazngua sasahv kichi aaaah.
 
anaitwa Juma Mohamed Mchopanga al-maarufu kwa jina la Jay Moe...
jamaa ndie MC wa ukweli.
Na kama utaizungumzia Hiphop basi jamaa ndie Hiphop
 
Kumbe MC ndio mtu 'orijino' wa hip hop? Sijuhi Bagamoyo wanafundisha hii kitu au kuna chuo kingine labda? Mim4 MC wangu ni Dogo Janja.
 
Vp kuhusu Kibacha? A.k.a K-Single?
Marehemu Faza Nelly wa Xplastza na Zomba a.k.a D-Rob?
Adili a.k.a Nigger One?
Kiukweli kwa waliobakia wanaofaaa kuwa MC ni Sugu tu
 
kwa waliopo kwenye game now anaefaa kuitwa MC ni FID Q peke yake ila tukiongeza na wasiokuepo ndo wenge sana..
 
Stamina yuko vizu jamaa anamistari ya kuumiza ubongo!!
 
Kumbe MC ndio mtu 'orijino' wa hip hop? Sijuhi Bagamoyo wanafundisha hii kitu au kuna chuo kingine labda? Mim4 MC wangu ni Dogo Janja.

hahaha umenichekesha xana but MC Kwa kiswahili anaitwa mcheguaji
 
Vp kuhusu Kibacha? A.k.a K-Single?
Marehemu Faza Nelly wa Xplastza na Zomba a.k.a D-Rob?
Adili a.k.a Nigger One?
Kiukweli kwa waliobakia wanaofaaa kuwa MC ni Sugu tu

wapi kitufe cha LIKE,,!!! true bro
 
Back
Top Bottom