Only for great thinkers!

Barafu zipimwe nazo huenda sumu ipo kwa barafu afu mshikaji kanywa iloyeyuka wakati mdada kayaacha mabonge kwenye glass baada ya kunywa mbio mbio.
 
Kwa sababu kinywaji chote alichokunywa huyo mwanaume ndio kilikuwa na sumu. Vile vinne vya mwanamke havikuwa na shida.
 
Ndiyo, unaagiza chupa tano zinapigwa zote in a minute.

Utaweza kuhandle hizo bill mkikaa masaa mawili ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetisha.... si angeenda msalani afu apite nduki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…