Nimeamua kufukua kaburi langu leo, najiona fala kweli.Mm n kijan wa miak 23, mwanafunz w mwk w 3 chuo n niko single. Natafut mpenz w kike mwny sifa zifuatazo:
Umri: miak 19-22,
Dini: yoyote
mahali: awe anaishi dar.
Kw yoyot alie tayar nichek kwny m2kutu@yahoo.com au ni PM thn ntakupa futher details abt me.
Hopefully ntampat ali serious, hv a nice day.
kwanini unajiona fala?Nimeamua kufukua kaburi langu leo, najiona fala kweli.
Duh kweli ujana ni maji ya moto.
domo zege humu JF au domo zege huko mtaani?Najiona kam nilikuwa domo zege fulan hiv, alafu cha ajabu sikupata reply hata moja.
Kweli wadada wa jamii forums kipindi hicho walikuwa makauzu sana
Kiukweli kwa kipindi hicho nilikuwa muoga, alafu nilikuwa naishi kwa kutemea hela ya mkopo wa bodi (bum).domo zege humu JF au domo zege huko mtaani?
23yrs ulikua muoga sababu ela hukuweza kutafuta, alafu ulikua mkweri, mstaarabu na mpole.Kiukweli kwa kipindi hicho nilikuwa muoga, alafu nilikuwa naishi kwa kutemea hela ya mkopo wa bodi (bum).
Nikahisi labda JF ningepata mdada ambaye tungeanzisha nae mahusiano tukatulia.
Alafu kipindi hicho nilikuwa mkweli, mstaarab na mpole tofauti kabisa na sasa
Kuna mwanamke nimekuwa nae kwenye uhusiano alinivuruga akili yangu sana, na kuniachia vidonda.23yrs ulikua muoga sababu ela hukuweza kutafuta, alafu ulikua mkweri, mstaarabu na mpole.
sasa hivi 27yrs unaweza kutafuta ela umekuwa muongo na mkorofi!!!!
nini kilitokea hapo katikati?
ingekuwaje kama ungempata mdada humu JF...usingekuwa kama ulivyo leo?
Baada ya hili tangazo lako nilibarikiwa kupata binti. Ana miaka mitatu sasa, ukimsubiri subiri unaweza kuwa mkwe wangu. Bado kuna miaka 17 ya kusubiri.Hapana dada, wote walinichunia.
Nilipata mtaan, ila alinipa funzo ambalo sitosahau
HahahaBaada ya hili tangazo lako nilibarikiwa kupata binti. Ana miaka mitatu sasa, ukimsubiri subiri unaweza kuwa mkwe wangu. Bado kuna miaka 17 ya kusubiri.
pole chief, ndio ukubwa huo!Kuna mwanamke nimekuwa nae kwenye uhusiano alinivuruga akili yangu sana, na kuniachia vidonda.
Baada ya kupata elimu kwa vitendo, nikagundua ni jinsi gani inabidi niishi na nikaona nibadili life style yangu mazima.
Na kitu kingine baada ya kuanza kupata chapaa sijawah kupata aina ya mwanamke wa ndoto zangu.
Pia aina ya kazi nayofanya inahitaji mtu uwe makini sana hivo kuchangia kunibadilisha sana kitabia yaani siwezi kivumilia upumbavu kabisa.
Kwa uandishi huu hicho chuo ulichopo ni cha vilaza wa 4G!!Mm n kijan wa miak 23, mwanafunz w mwk w 3 chuo n niko single. Natafut mpenz w kike mwny sifa zifuatazo:
Umri: miak 19-22,
Dini: yoyote
mahali: awe anaishi dar.
Kw yoyot alie tayar nichek kwny m2kutu@yahoo.com au ni PM thn ntakupa futher details abt me.
Hopefully ntampat ali serious, hv a nice day.
Ndo maana nimetulia kwa sasa, nimeacha mambo yaende kama yalivopole chief, ndio ukubwa huo!
kupata chapaa na aina ya kazi yako vimefanya ubadilike na kushindwa kupata mwanamke wa ndoto yako!!!.......kwanini iwe hivyo na umesema deep inside wewe bado ni mpole na mstaarabu!?
inawezekana kidonda chako hakijapona bado ndio kinakufanya uwe hivyo.....ugulia ukipona anza tena, mwanamke wa ndoto zako yupo.
sawaNdo maana nimetulia kwa sasa, nimeacha mambo yaende kama yalivo