na weng wanaosemaga hivyo unamuuliza basi toa utofaut, anabaki anaduwaaKiongozi kama ulikua kwa Oblangata yangu.
Mpaka najiuliza huyu Facebuku ni nani?
JF unakuta mtu wa watu kajitutumua kuandika maada weee, hasa mtu akiwa mvivu wa kusoma bas anajidefend atakuambia tutolee uandiashi wako wa kifacebook hapa [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] . bado mpk leo natafta uandishi wa kifacebook upoje.
mkuu hii jf wewe kuwa kama wewe tu! fanya mambo yako kwa jinsi mood yako ilivyo kwa wakati huoUnalike 99 kupata iyo moja tu ufikishe 100 unaweza subiri miezi 3.
Unajikakamua kujibu Mada with evidence ila bado unapondwa tu
unajitaidi kucomment kila post mwishowe watu wanakuja na post hivi wewe ni nani
Jaribu kuomba jina halisi la mtu au kapicha tu uone...
Ukija na utoto mwingi humu after a week unajikuta unabusara za kizee kabisa.
Bila kunogesha na chanzo cha habari au kapicha taarifa hainogi kabisa.
Only in Jamii forum zipo nyingi tuu...Continue
Unalike 99 kupata iyo moja tu ufikishe 100 unaweza subiri miezi 3.
Unajikakamua kujibu Mada with evidence ila bado unapondwa tu
unajitaidi kucomment kila post mwishowe watu wanakuja na post hivi wewe ni nani
Jaribu kuomba jina halisi la mtu au kapicha tu uone...
Ukija na utoto mwingi humu after a week unajikuta unabusara za kizee kabisa.
Bila kunogesha na chanzo cha habari au kapicha taarifa hainogi kabisa.
Only in Jamii forum zipo nyingi tuu...Continue
[emoji12] [emoji12] [emoji12] , aiseee kumbeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maneno kama hayo yenye wekundu...
Kutumia X badala ya S, vifupisho visivyoeleweka...
kabla hujaingia humu jiandae kisaikolojia ili ucope na mazingira ya humu hakika hakuna kitakachokuaribia mood yakoMimi kinachonikera ni yale matusi watu wanatukana humu. Kisa hakubaliani na hoja yako.
Bora wewe ndugu yangu umetoa ushauri wa kiutu uzima. Inatia moyo. Nimekusikia.kabla hujaingia humu jiandae kisaikolojia ili ucope na mazingira ya humu hakika hakuna kitakachokuaribia mood yako
pamojaBora wewe ndugu yangu umetoa ushauri wa kiutu uzima. Inatia moyo. Nimekusikia.
Pole mkuu..ndiyo ya walimwengu wa mtandaoni hayo
Uncle una utani ila kawaida tuLeo naona umewahi nafasi yako ya #2 Mkuu.