Only in Jamii Forum

Only in Jamii Forum

JF unakuta mtu wa watu kajitutumua kuandika maada weee, hasa mtu akiwa mvivu wa kusoma bas anajidefend atakuambia tutolee uandiashi wako wa kifacebook hapa [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] . bado mpk leo natafta uandishi wa kifacebook upoje.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maneno kama hayo yenye wekundu...
Kutumia X badala ya S, vifupisho visivyoeleweka...
 
Unalike 99 kupata iyo moja tu ufikishe 100 unaweza subiri miezi 3.

Unajikakamua kujibu Mada with evidence ila bado unapondwa tu

unajitaidi kucomment kila post mwishowe watu wanakuja na post hivi wewe ni nani

Jaribu kuomba jina halisi la mtu au kapicha tu uone...

Ukija na utoto mwingi humu after a week unajikuta unabusara za kizee kabisa.

Bila kunogesha na chanzo cha habari au kapicha taarifa hainogi kabisa.

Only in Jamii forum zipo nyingi tuu...Continue
mkuu hii jf wewe kuwa kama wewe tu! fanya mambo yako kwa jinsi mood yako ilivyo kwa wakati huo
ukianza kisikiliza nani kanisema nini au kwaini napata like chache, wallaih utapelekeshwa kama bendera inavyopelekeshwa wakati wa upepo wa kipupwe
 
Unalike 99 kupata iyo moja tu ufikishe 100 unaweza subiri miezi 3.

Unajikakamua kujibu Mada with evidence ila bado unapondwa tu

unajitaidi kucomment kila post mwishowe watu wanakuja na post hivi wewe ni nani

Jaribu kuomba jina halisi la mtu au kapicha tu uone...

Ukija na utoto mwingi humu after a week unajikuta unabusara za kizee kabisa.

Bila kunogesha na chanzo cha habari au kapicha taarifa hainogi kabisa.

Only in Jamii forum zipo nyingi tuu...Continue

Mimi kinachonikera ni yale matusi watu wanatukana humu. Kisa hakubaliani na hoja yako.
 
mtu mpole muoga hata kuongea ukimkuta JF ni mtaalam wa kuporomosha matusi hadi utashangaa
 
kabla hujaingia humu jiandae kisaikolojia ili ucope na mazingira ya humu hakika hakuna kitakachokuaribia mood yako
Bora wewe ndugu yangu umetoa ushauri wa kiutu uzima. Inatia moyo. Nimekusikia.
 
Back
Top Bottom