Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ni game over.Afadhali hawa wa gatuzi la Kiambu, wana afueni kidogo. Serikali yao ya mashinani inamaintain barabara zao vizuri. Hii hapa juu ni barabara kuu Tz.![]()
Barabara kuu ya kwenda wapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dar kuelekea Lindi, nilidhani utabisha kwamba hapo ni Bunjumbura sio Tz.![]()
Duh!![emoji33][emoji33][emoji33]Tusaidiane kushangaa Kivuko kilichojengwa kwa milioni 7.8 huko Songea
View attachment 1136454
Tusaidiane kushangaa Kivuko kilichojengwa kwa milioni 7.8 huko Songea
View attachment 1136454
Mimi siamini hii picha ya Kiambu hapa tumechezwa karata.Look at those letters they're too straight on a shed that has noticeable imperfections.Hiyo mbao is not straight but the lettering is .Hapa ni game over.
sio kweli Dar Lindi ni lami tupu labda kama ni ya miaka ya nyuma sanaDar kuelekea Lindi, nilidhani utabisha kwamba hapo ni Bunjumbura sio Tz.![]()
Huku hadi lift zinazunduliwa. Nchi ya ajabu Sana!Tz nchi ya kuzinduaView attachment 1136622View attachment 1136623
Mmmmmh Dar Lindi ni carpet mwanzo mwisho, hii itakua ya enzi za mkoloniDar kuelekea Lindi, nilidhani utabisha kwamba hapo ni Bunjumbura sio Tz.![]()
Your third largest city got traffic lights for the first time in 2019 and it was a national holiday 😁😁😁 excitement and champagnes everywhere
Just play along, sote tunajua ni photoshop, lakini wengine watasadiki tu.Mimi siamini hii picha ya Kiambu hapa tumechezwa karata.Look at those letters they're too straight on a shed that has noticeable imperfections.Hiyo mbao is not straight but the lettering is .