Only in Kenya [emoji1139]

Only in Kenya [emoji1139]

Aproaching Kisumu Dala on Kondele Highway.
CnpmWNaXgAA7JFs.jpg
Miundo mbimu kama hii wakiipata kule Dar wabeba mkasi wa fisiem wataizindua zindua zaidi ya mara kumi.

Ni kitu gani hiki? Tuta?
 
Mimi ngoja nikupe kubwa leo ukalale na viatu

Tanzania we feature three busiest airports in Africa on the list lakini ninyi siwaoni hata na kimoja

Mkajipange Tanzania kwenye aviation sio level zenu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1137804
You are mad, JKIA is at number 7 in Africa with 7m while JNIA has 2M. Then secondly I have asked you for Arusha and Mwanza pics sio Kilimanjaro na na sijui Ahmed of Zanzibar.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ccm hoyeeee....ulipaswa uimbe pambio kwanza kabla ya ku post..
CCM ndio baba yako na mama yako ewe mkenya, huna pa kwenda zaidi ya CCM inayokulisha.
 
Mimi ngoja nikupe kubwa leo ukalale na viatu

Tanzania we feature three busiest airports in Africa on the list lakini ninyi siwaoni hata na kimoja

Mkajipange Tanzania kwenye aviation sio level zenu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1137804

Infact unaweza safiri toka JKIA na Kwengineko duniani direct to Kilimanjaro or Zanzibar. Ila kwa kenya ni Nairobi pekee[emoji2]
Nimekuwa nikiwafungua macho wakenya juu ya hili Mara kwa mara.
IMG_3090.JPG
 
You are mad, JKIA is at number 7 in Africa with 7m while JNIA has 2M. Then secondly I have asked you for Arusha and Mwanza pics sio Kilimanjaro na na sijui Ahmed of Zanzibar.
Hiyo yetu TAA huwa wanatoa statistics za abiria wa nje tu, tukijumlisha abiria wa ndani na regional ngoma droo bro tena ukicheza tunawazidi 😂😂😂
 
Kw aviation industry yenu...mbna utakuwa unazuga tu
Hiyo yetu TAA huwa wanatoa statistics za abiria wa nje tu, tukijumlisha abiria wa ndani na regional ngoma droo bro tena ukicheza tunawazidi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo yetu TAA huwa wanatoa statistics za abiria wa nje tu, tukijumlisha abiria wa ndani na regional ngoma droo bro tena ukicheza tunawazidi [emoji23][emoji23][emoji23]
Excuses as normal, show me any evidence of what you're saying. Hata mmejenge airports ishirini bado hamtawahifikia JKIA.
 
Infact unaweza safiri toka JKIA na Kwengineko duniani direct to Kilimanjaro or Zanzibar. Ila kwa kenya ni Nairobi pekee[emoji2]
Nimekuwa nikiwafungua macho wakenya juu ya hili Mara kwa mara.
View attachment 1137808
😁😁 Kweli kabisa na hii ndio ilikuwa point yangu, Ethiopian ana ndege 7 mpaka 8 perday kuja Tanzania, kilimanjaro zinashuka Dreamliners 2 per day, Zanzibar Dreamliners 2 perday na Dar Dreamliner 3-4 perday hapo bado airlines nyingine around the globe
 
[emoji16][emoji16] Kweli kabisa na hii ndio ilikuwa point yangu, Ethiopian ana ndege 7 mpaka 8 perday kuja Tanzania, kilimanjaro zinashuka Dreamliners 2 per day, Zanzibar Dreamliners 2 perday na Dar Dreamliner 3-4 perday hapo bado airlines nyingine around the globe
We are tired of your excuses, now show us the pictures of Arusha and Mwanza airports. I think that's what I asked you to post earlier.
 
Hiyo yetu TAA huwa wanatoa statistics za abiria wa nje tu, tukijumlisha abiria wa ndani na regional ngoma droo bro tena ukicheza tunawazidi [emoji23][emoji23][emoji23]

Bro, Wakenya huwa ni Mamburula sana, siku moja tupo na Majamaa Nairobi jamaa moja likawa linasema Tanzania nzima kuna pediatricians 35, na likaenda mbali zaidi na kuleta ile takwimu ya Doctors to patient ratio sijui huwa yanaquote wapi,
Unaona huyo fala anasema JNIA jnahandle abiria milioni Mbili yaani ndio Mindsets zao na Na ndio media zao zinavyowadanganya.
Wakenya bwana akili zao wanazijuaga wenyewe.
 
Don't crucify me coz I didn't bring the table, this is a table posted here by Redeemer who hasn't even redeemened himself and as you can see JKIA is at position 7 with 7m while your darling JNIA has only 2m. In fact all your airports combined can't even come close to JKIA.
tapatalk_1561407746507.jpeg
 
Of course it's an international airport built with a purpose of serving Lappset corridor. It's one of the projects together with Lamu port and Isiolo-Moyale road being funded by Kenyan government.
Kwa ninavyowajua wakenya utasikia hii ni blabla International Airport [emoji2]
 
Back
Top Bottom