Only in Kenya [emoji1139]

Afadhali hawa wa gatuzi la Kiambu, wana afueni kidogo. Serikali yao ya mashinani inamaintain barabara zao vizuri. Hii hapa juu ni barabara kuu Tz.

Barabara kuu ya kwenda wapi?
 
Hapa ni game over.
Mimi siamini hii picha ya Kiambu hapa tumechezwa karata.Look at those letters they're too straight on a shed that has noticeable imperfections.Hiyo mbao is not straight but the lettering is .
 
Hivi government huwa inatoa donations au ni obligations? 😁😁😁 Na eneo lenyewe hata bodaboda 3 hazienei
 
Huku hadi lift zinazunduliwa. Nchi ya ajabu Sana!
View attachment 1136667View attachment 1136668
Your third largest city got traffic lights for the first time in 2019 and it was a national holiday 😁😁😁 excitement and champagnes everywhere

Mimi siamini hii picha ya Kiambu hapa tumechezwa karata.Look at those letters they're too straight on a shed that has noticeable imperfections.Hiyo mbao is not straight but the lettering is .
Just play along, sote tunajua ni photoshop, lakini wengine watasadiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…