Only in Kenya [emoji1139]

Mimi siamini hii picha ya Kiambu hapa tumechezwa karata.Look at those letters they're too straight on a shed that has noticeable imperfections.Hiyo mbao is not straight but the lettering is .
Just play along, sote tunajua ni photoshop, lakini wengine watasadiki tu.
 
Najua utafungua uzi ujifariji.
 
Yet our 3rd largest City has better roads than Tanzagiza's capital city Dar es Sluum; Checking maneno Buda

 
Mimi siamini hii picha ya Kiambu hapa tumechezwa karata.Look at those letters they're too straight on a shed that has noticeable imperfections.Hiyo mbao is not straight but the lettering is .

Hehehe, kwaiyo unahisi ni wapi hapo? Kivu???
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ccm katika ubora wake.....kemu tuonyesshe za dar
Huo muundombinu umejengwa na tofali za kuchoma kama banda la bata mzinga, sisi tunajenga viaducts za kutosha.

Hivi hiyo kwenye picture hapo juu ni barabara au josho la nguruwe?
 
Redeemer show us Mwanza or Arusha airports.
 
Redeemer show us Mwanza or Arusha airports.View attachment 1137793
Mimi ngoja nikupe kubwa leo ukalale na viatu

Tanzania we feature three busiest airports in Africa on the list lakini ninyi siwaoni hata na kimoja

Mkajipange Tanzania kwenye aviation sio level zenu 😁😁😁😁
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ccm hoyeeee....ulipaswa uimbe pambio kwanza kabla ya ku post..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…