only in PAKISTAN

only in PAKISTAN

SILENT WHISPER

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2009
Posts
2,209
Reaction score
822
parkistan2.jpg

parkistan.jpg

parkistan1.jpg

parkistan3.jpg

hahahahaah...! Time keeper
 
Hawa jamaa wanamambo ya kufikirika kuliko nchi ya Kusadikika!
 
Nilisafiri kwa gari toka Islamabad hadi Lahore na ukweli niliona mambo. Halafu hawa jamaa wana ile hashish nyeusi (afghan) ukiivuta jasho litakutoka!
 
Anayeswali na msala/mkeke wa bendera ya obama huyo kaniacha hoooooooi
 
Hata mimi huo mswala umeniacha kushoto!:teeth:
 
Hawa jamaa me huwa nachelewa sana kuwaelewa. But inawezekana alikuwa anarekebisha saa baada ya tatizo fulani la kiufundi!
 
huyu anaposujudu si anaisujudia marekani?
 
Back
Top Bottom