Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Habari bila picha mzee ni sawa na sambusa bila nyamaDah! Wadada wa dar na nyie mmezidi sasa kama unauza misosi si utuwekee picha/video za misosi tuione, wewe unauza misosi lkn unatangaza makalio, hivi ulisomea wapi kozi yako ya marketing!!!mmmmxiuuuuuuu ptuuuuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiongezee Mkuu,au wewe ni Mwanaume wa Mkoani?Dah! Wadada wa dar na nyie mmezidi sasa kama unauza misosi si utuwekee picha/video za misosi tuione, wewe unauza misosi lkn unatangaza makalio, hivi ulisomea wapi kozi yako ya marketing!!!mmmmxiuuuuuuu ptuuuuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Wadada wa dar na nyie mmezidi sasa kama unauza misosi si utuwekee picha/video za misosi tuione, wewe unauza misosi lkn unatangaza makalio, hivi ulisomea wapi kozi yako ya marketing!!!mmmmxiuuuuuuu ptuuuuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dada ana mgongo balaaa
Tako lake poschyy qeen anasubiri
Midume kibao inakwenda kuzuga kula biriani tabata huko + kulicheki kalio lake
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo baadhi ya watanzania kukosa agenda na mipangilio kwenye maisha ndio maana umasikini hautoki. Mtu anaenda kula chakula badala ya kushikilia agenda ya kula iliyompeleka anaanza agenda ya makalio agenda ambayo hakuipanga wakati alipokuwa akiondoka kwake kufuata chakula. Watanzania wengi hawana single focus kwenye agenda na mipango.Hahahaaaaa Mariam TABATA.
Kabisa mkuu ndio maana tunafeli katika mambo mengi sana.tatizo baadhi ya watanzania kukosa agenda na mipangilio kwenye maisha ndio maana umasikini hautoki. Mtu anaenda kula chakula badala ya kushikilia agenda ya kula iliyompeleka anaanza agenda ya makalio agenda ambayo hakuipanga wakati alipokuwa akiondoka kwake kufuata chakula. Watanzania wengi hawana single focus kwenye agenda na mipango.
Wamezoeshwa na CCM badala ya kufocus kuiletea Nchi mipango ya maendeleo wao wanadili na Upinzani na siasa chafu.tatizo baadhi ya watanzania kukosa agenda na mipangilio kwenye maisha ndio maana umasikini hautoki. Mtu anaenda kula chakula badala ya kushikilia agenda ya kula iliyompeleka anaanza agenda ya makalio agenda ambayo hakuipanga wakati alipokuwa akiondoka kwake kufuata chakula. Watanzania wengi hawana single focus kwenye agenda na mipango.
Tabata gani hiyo tukale biriani?Hahahaaaaa Mariam TABATA.
Aise! Huyo chakula chake hakiwezi kubaki hata siku moja! Kwanza kitaisha mapeema kusudi jamaa wabebe mzigo!