Only in Tanzania Biashara ya Biriani inatangazwa kwa kuonesha na kutingisha makalio!!

Hahahaaaaa Mariam TABATA.
tatizo baadhi ya watanzania kukosa agenda na mipangilio kwenye maisha ndio maana umasikini hautoki. Mtu anaenda kula chakula badala ya kushikilia agenda ya kula iliyompeleka anaanza agenda ya makalio agenda ambayo hakuipanga wakati alipokuwa akiondoka kwake kufuata chakula. Watanzania wengi hawana single focus kwenye agenda na mipango.
 
Kabisa mkuu ndio maana tunafeli katika mambo mengi sana.
 
tatizo baadhi ya watanzania kukosa agenda na mipangilio kwenye maisha ndio maana umasikini hautoki. Mtu anaenda kula chakula badala ya kushikilia agenda ya kula iliyompeleka anaanza agenda ya makalio agenda ambayo hakuipanga wakati alipokuwa akiondoka kwake kufuata chakula. Watanzania wengi hawana single focus kwenye agenda na mipango.
Wamezoeshwa na CCM badala ya kufocus kuiletea Nchi mipango ya maendeleo wao wanadili na Upinzani na siasa chafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom