Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubunifu huu mkuu,inapendeza na sisi tukianzisha vya kwetu!Kitakuja mpaka chama cha waokota mipira!Wakuu habari za huoni,
Nimeshangaa sana Leo kusikia kuna chama cha magolikipa Tanzania..si kuna chama cha wachezaji mpira Kwa ujumla...sijui kama vyama vya mabeki na viungo pia vipi..