Only in Tanzania!!!!

Only in Tanzania!!!!

byeyombo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2015
Posts
2,647
Reaction score
4,184
Wakuu habari za huoni,
Nimeshangaa sana Leo kusikia kuna chama cha magolikipa Tanzania..si kuna chama cha wachezaji mpira Kwa ujumla...sijui kama vyama vya mabeki na viungo pia vipi..
 
Wakuu habari za huoni,
Nimeshangaa sana Leo kusikia kuna chama cha magolikipa Tanzania..si kuna chama cha wachezaji mpira Kwa ujumla...sijui kama vyama vya mabeki na viungo pia vipi..
Ubunifu huu mkuu,inapendeza na sisi tukianzisha vya kwetu!Kitakuja mpaka chama cha waokota mipira!
 
Back
Top Bottom