Wakuu habari za huoni,
Nimeshangaa sana Leo kusikia kuna chama cha magolikipa Tanzania..si kuna chama cha wachezaji mpira Kwa ujumla...sijui kama vyama vya mabeki na viungo pia vipi..