Only in Tanzania

Only in Tanzania

darasa la saba sio kipimo cha akili hata kidogo,nikimuonyesha mtu matokeo yangu ya shule ya msingi ma ya leo chuo anaweza akasema nilikuwa mtoto wa mwalimu mkuu enzi zile(full kuwa wa kwanza) but leo mambo duhhhhh sasa ina maana akili nimeuza au?
kwanin tusiamini mtu anaweza akafeli darasa la saba then huko mbele ex chuo akaja kufanya vizuri kama kuna anayefaulu sana la saba na kupata zero form six? elimu ya msingi inatakiwa kuwa ya 'msingi' kweli na sio mashindano,kama shule za sekondari ni chache watafute njia mbadala na sio kuwarudisha watoto nyumbani kwa kisingizio cha kufel mtihani.
 
Back
Top Bottom