Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
Niaje wadau,
Swali kwa wale wenzangu na mimi tulioweka picha zetu kama profile picture humu JamiiForums, ama kunogesha zaidi wenyewe wakaita avatar.
Utajisikiaje siku mtu anaiba picha yako alafu anaanza kufanya mambo ya hovyo(kutukana, kupost picha za uchi etc etc).
Alafu na nyinyi wezi mnapata faida gani kuiba avatars za wengine angali wamesha tengeneza jina na kupitia avatar zao kama utambulisho.