Only kwa legend walioweka avatar picha zao, na wezi wa avatar za wenzio

Principal Focus

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
925
Reaction score
550
Niaje wadau,

Swali kwa wale wenzangu na mimi tulioweka picha zetu kama profile picture humu JamiiForums, ama kunogesha zaidi wenyewe wakaita avatar.

Utajisikiaje siku mtu anaiba picha yako alafu anaanza kufanya mambo ya hovyo(kutukana, kupost picha za uchi etc etc).

Alafu na nyinyi wezi mnapata faida gani kuiba avatars za wengine angali wamesha tengeneza jina na kupitia avatar zao kama utambulisho.
 
Naona unajitangaza ili tukufahamu
 
Mkuu usisahau kulipia tangazo, na udai risiti
 
Yani kuna mtu anaiba Avatar ya Jamiiforums ilivyo ndogo na low quality then anaenda muingiza mtu kingi akamtapeli!?..Au kuna forum JF ya kupost picha kama instagram mie sijapata access?..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu yan kumbe nawe upo huku uliniacha meatu sekondari na umekuja kuniandikisha kitambulisho cha taifa pindi tulikuja na ..................... Tukiwa na harakat za kwenda jkt
 
Kuna njia nying tu za kupata picha na ikatoka vizur tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu yan kumbe nawe upo huku uliniacha meatu sekondari na umekuja kuniandikisha kitambulisho cha taifa pindi tulikuja na ..................... Tukiwa na harakat za kwenda jkt
Ndio nani? In joti voice!!?
 
Back
Top Bottom