Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
vijana wanaita akili za usikuHuku ni kukosa kazi ya kufanya
vijana wanaita akili za usiku
Naona unajitangaza ili tukufahamuNiaje wadau,
Swali kwa wale wenzangu na mimi tulioweka picha zetu kama profile picture humu JamiiForums, ama kunogesha zaidi wenyewe wakaita avatar.
Utajisikiaje siku mtu anaiba picha yako alafu anaanza kufanya mambo ya hovyo(kutukana, kupost picha za uchi etc etc).
Alafu na nyinyi wezi mnapata faida gani kuiba avatars za wengine angali wamesha tengeneza jina na kupitia avatar zao kama utambulisho.
Wanaonijua wanatosha!Naona unajitangaza ili tukufahamu
Si tangazo wala nini ni sawa tu na vile mtu anahack a/c yako ya instagram kisa ya followers. Ni kitu ambacho kipo tu ila hatuvipi umuhimu.Mkuu usisahau kulipia tangazo, na udai risiti
SawaSi tangazo wala nini ni sawa tu na vile mtu anahack a/c yako ya instagram kisa ya followers. Ni kitu ambacho kipo tu ila hatuvipi umuhimu.
Acha shobo hujaitwa humuImekuuma sana!
Kuna njia nying tu za kupata picha na ikatoka vizur tu.Yani kuna mtu anaiba Avatar ya Jamiiforums ilivyo ndogo na low quality then anaenda muingiza mtu kingi akamtapeli!?..Au kuna forum JF ya kupost picha kama instagram mie sijapata access?..
Ndio nani? In joti voice!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu yan kumbe nawe upo huku uliniacha meatu sekondari na umekuja kuniandikisha kitambulisho cha taifa pindi tulikuja na ..................... Tukiwa na harakat za kwenda jkt