GabrelChuga Member Joined Jan 20, 2017 Posts 7 Reaction score 2 Feb 9, 2020 #1 Naombeni msaada juu ya hili tatizo maana kila nikiwasha simu yangu inaniandikia hivyo, na hiyo ni baada ya kuirestore. Simu ni Samsung A10.
Naombeni msaada juu ya hili tatizo maana kila nikiwasha simu yangu inaniandikia hivyo, na hiyo ni baada ya kuirestore. Simu ni Samsung A10.
Ramlis JF-Expert Member Joined Aug 22, 2013 Posts 605 Reaction score 521 Feb 9, 2020 #2 GabrelChuga said: Naombeni msaada juu ya hili tatizo maana kila nikiwasha simu yangu inaniandikia hivyo na hiyo ni baada ya kuirestore Simu ni Samsung A10 Click to expand... Simu yako umeiroot na bootloader au Rmm iko on. Flash simu yako. Sent using Jamii Forums mobile app
GabrelChuga said: Naombeni msaada juu ya hili tatizo maana kila nikiwasha simu yangu inaniandikia hivyo na hiyo ni baada ya kuirestore Simu ni Samsung A10 Click to expand... Simu yako umeiroot na bootloader au Rmm iko on. Flash simu yako. Sent using Jamii Forums mobile app
GabrelChuga Member Joined Jan 20, 2017 Posts 7 Reaction score 2 Feb 26, 2020 Thread starter #3 Ahab Leeka said: Simu yako umeiroot na bootloader au Rmm iko on. Flash simu yako. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... niliipeleka kwa mafundi wakaiwekea bootloader ikakubali kuwaka ila saivi inazingua tena network inaniambia emergency call only muda wote wakati kabla ilikua vizuri.
Ahab Leeka said: Simu yako umeiroot na bootloader au Rmm iko on. Flash simu yako. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... niliipeleka kwa mafundi wakaiwekea bootloader ikakubali kuwaka ila saivi inazingua tena network inaniambia emergency call only muda wote wakati kabla ilikua vizuri.