GabrelChuga
Member
- Jan 20, 2017
- 7
- 2
Naombeni msaada juu ya hili tatizo maana kila nikiwasha simu yangu inaniandikia hivyo, na hiyo ni baada ya kuirestore. Simu ni Samsung A10.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simu yako umeiroot na bootloader au Rmm iko on. Flash simu yako.Naombeni msaada juu ya hili tatizo maana kila nikiwasha simu yangu inaniandikia hivyo na hiyo ni baada ya kuirestore Simu ni Samsung A10
niliipeleka kwa mafundi wakaiwekea bootloader ikakubali kuwaka ila saivi inazingua tena network inaniambia emergency call only muda wote wakati kabla ilikua vizuri.