kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Dada anaongeaje?
Kanisa ni nini?
Hivi hamuwezi kumshawishi mtu kwa logic badala ya vitisho?
Halafu we Eiyer unanikumbusha jamaa mmoja nilikuta nae miaka ya nyuma huku ughaibuni!
Elimu yake yoote ni shule ya msingi nyamagana!
Na akaenda shule moja inatwa buswelu secondary iko kijiji kimoja kinaitwa buswelu huko mwanza!
Huko zaidi ya kupika uji na ugali! Hamna cha ziada walipata!
Huyu jamaa yeye hajui kuwa hajui!
Yaani anaongea kama wewe hivihivi!!!
Yaani ukiongea nae huwezi amini! Copy right kabisa na wewe!!
Au sijui nyie ndugu!
Hivi nikuulize na wewe ni msukuma!?
Ukinijibu ntakurudi kwenye topic!!!
Last edited by a moderator: