barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Kwa mtandao gani was simu mkuu?Pata unlimited data /data isiyo na ukomo tumia hata 10000GB kwa siku.
Mwezi 1=9,000
Miezi 3=17,000
Mtandao wowote.
Wasiliana nami 0621 072 026
Teach me forex dear
Ni vema awe on air ASAP kukanusha ama kutoa ufafanuzi la sivyo itaonekana ni kwelimie nitajuaje hio message ni original na sio imetungwa kumchafua mtu wa watu?
hahaa ule ulikuwa uongo mzito sana "" tena wakiwango cha tani ...binafsi logic yake sikuiona maana jeshi la police nalo pia ni jeshi "" so unavua unavaa koti la police ili kuficha t.shirt ya jeshi la wananchi ili iweje ""? wakati hayo yote ni majeshi ya nchi na sheria za nchi zinakataza raia yoyote kuvaa nguo za hayo majeshi yote"" PALE ALIKUWA ANATAFUTA KUWA TEKA KIAKILI WATU ILI WAONE KUWA JAMAA ANAJULIKANA NA WAKUBWA "" SIWAJUA KUWA ALIKUWA ANASAFIRIA NYOTA YA KUJIFANYA KUWA YEYE NI USALAMA WA TAIFA...WAKUMBUKA MWANZO WA ILE STORY ANAJIFANYA KUWA ALIITWA NA MKUU WA USALAMA AKAWA ANATAKA AMUELEZEE KUHUSU MASUALA YA FX "" anajuwa fika ukitaka kuziteka akili za wabongo basiii jifanye upo karibu na watu ambao wananguvu ya ushawishi katika jamii"" na kweli katika hilo alifaulu """ hahaaa...basiii mimi nilivyoisoma ile story na kuona hayo matukio nika connect dots nikaona mmh hapa wanatafutwa wajinga ambao ndio huwa wali wa werevu "" "" nikajiuliza T.shirt ya jeshi na huyu mkubwa wa TISS wanaumuhimu gani wakuwepo ktika hii story """!!? kwanini asingekwenda straight tu nakutueleza dhamira ya maudhui yake ..mpaka kuanza kutupikia haya matukio...!?.."" mzee baba hadi hapo nikasema wacha nirushe mbawa mie maaana ndio sifa ya kunguru muoga "" hahaa mwisho wasiku waoga huwa wanasimama mbele ya nyumba zao nakuwaonyesha watoto wao makaburi ya mashujaa wao yalipo ""....hahaaHahah aisee ngoja kwanza nikarudie kale kastory maana hapo kwny t-shirt ya jeshi mara koti la polisi ulikua ni uongo mtupu huo mkuu.
Yaan sasa hapo utafikiri eti CIA au sijui nani hiyo sehemu nilicheka sanaMkuu wale wote Janja Janja...huo Uzi wa the bold anaosema kuwa alifika o'bey akiwa na t-shirt ya jeshi kisha akaenda kwa police na kumuomba koti lake ili ile t-shirt yke "" ya kijeshi isipate kuonekana hahaaa"" yaani nilipokuwa na soma ule waraka nilivyokuja kufikia hapo tu "" nikaona kuwa hawa wote wezi ..na wanatumia ujinga wawabongo "" kuweza kuwarubuni
Leo imeshuka mpaka dola 30 tenaa cc hearlyHata nikikufundisha umeshalishwa sumu kuwa forex ni utapeli wakati watu wanapiga pesa, NAKUHAKIKISHIA kwenye FOREX wakati natoka mwenge to posta foleni ile mimi naingiza usd 30 kila siku sina presha na mtu.
Jamaa "" waongo waongo..sana "" wana maneno matamu " kama kibuyu cha asali " ukilemeza fikira tu " umekwishaYaan sasa hapo utafikiri eti CIA au sijui nani hiyo sehemu nilicheka sana
Ni vema awe on air ASAP kukanusha ama kutoa ufafanuzi la sivyo itaonekana ni kweli
[emoji23][emoji23][emoji23]mie nitajuaje hio message ni original na sio imetungwa kumchafua mtu wa watu?
Navyo ogopa matusi ila ngoja tu nikukabili sasa hivi imekuwa wamekuboa ? Naona kibao cha u turn kileeee unakaribia kukifikiaHakuna alieibiwa pesa clients tuko salama kabisa trade zina run kama kawaida,nampenda ontario na wenzie ila kwa kugombanaa kwenye grups wameonesha uafrica wao wa ajabu samahani kwa hili ONTARIO soon nabadilisha broker mmeniboa kwa ugomvi wenu.nahamia ECN Broker.Forex ni nzuri tu il hawa watu wameboa
Pwagu... timesahau kale kamsemo ketu... tikiona watu wanataka kushituka tiseme ''forex is not for everyone.''Hata nikikufundisha umeshalishwa sumu kuwa forex ni utapeli wakati watu wanapiga pesa, NAKUHAKIKISHIA kwenye FOREX wakati natoka mwenge to posta foleni ile mimi naingiza usd 30 kila siku sina presha na mtu.
Teh Teh sawauswahili sipendi sisi wanyarwanda htupendi ujinga kama wa TMT,walianza vizuri sana ila wameanza kuboaa
ha ha haaPwagu... timesahau kale kamsemo ketu... tikiona watu wanataka kushituka tiseme ''forex is not for everyone.''