hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaa...hivi huwaga unaiperuzi akili yangu nini !?? Jana " kuna mtu nilitoka kuongea nae suala kama hili aisse....."" hilo ulosema ndio jambo lenye afya sasa"" hebu tuanze huo mchakato aisee..."" kuigiza hilo suala sio tatizo mkuu""Unajua kuhubiri!?.. Unajua kuigiza miujiza!?.. Tufungue Kanisa mjini hapa 😀