Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex


Sijawahi kufanya forex, though nina plan kuifanya once I get time.
 
Poleni wote mliolizwa.

Sasa kama mna hela nipeni mtaji tutie mikeka tu safari hii.

Upepo upo mikeka inatiki daily sema tatizo pesa ya madafu. Mtu anipe millioni 5 mwisho wa mwezi nimrudishie million 15.

Kama unabisha leta hela uone maajabu. Achana na forex sijui forest.. Njoo tubet
 
Hakuna pesa ya rahisi hata siku moja, unachoona rahisi kuna siku kitakugharimu tu.
 
Acha awanyooshe mpate akili , mlikuwa mnashauriwa ila mnawaona watu kama mavi sasa ngoja mjue mjini akili
 
Hawa walienda kuzichota wenyewe?

Walioidhinisha zitoke wako wapi?

Wizara ya fedha, wizara ya nishati na madini, Ikulu, BOT, Ofisi ya Mwanasheria etc nani yuko ndani?
alieshikwa na ngozi ndio alieiba mbuzi...alieshikwa na pesa ndio mwizi...Ndio maana Ontario anashtakiwa ingàwa hizo pesa ni benki ndio wameidhinisha zitoke...
 
alieshikwa na ngozi ndio alieiba mbuzi...alieshikwa na pesa ndio mwizi...Ndio maana Ontario anashtakiwa ingàwa hizo pesa ni benki ndio wameidhinisha zitoke...

Wangapi tumeona hela imeingia kwenye account zao na wako kitaa?

Hii list siyo kukamatwa na ngozi?

SOMA MAJINA YA WALIOKULA FEDHA ZA AKAUNTI YA ESCROW KATIKA RIPOTI YA PAC INAYOSOMWA SASA BUNGENI.

Zitto: Upande wa viongozi wa kisiasa ambao waliingiziwa fedha katika akaunti zao binafsi ni; Mhe.
Andrew Chenge (Mb)

Zitto: Andrew Chenge aliingiziwa shilingi bilioni 1.6.

Zitto: Mhe. Anna Tibaijuka (Mb) na Waziri wa 62
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi shilingi bilioni 1.6.

Zitto: Mhe.William Ngeleja (Mb) na ambaye alikuwa Waziri wa Nishati na Madini alipewa shilingi milioni 40.4

Zitto: Ndg. Daniel N. Yona ambaye alikuwa pia Waziri wa Nishati na Madini alipewa shilingi milioni 40.4.

Zitto: Ndg. Paul Kimiti ambaye ni Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Sumbawanga
alipewa shilingi milioni 40.4

Zitto: Dr. Enos S. Bukuku ambaye alikuwa Mjumbe wa Bodi ya TANESCO aliingiziwa shilingi milioni 161.7.

Zitto: Upande wa Majaji Prof. Eudes Ruhangisa, aliingiziwa milioni 404.25 na J.A.K Mujulizi aliingiziwa shilingi milioni 40.4

Zitto: kwa upande wa Watumishi wa umma,Ndg. Philip Saliboko ambaye alikuwa mtumishi wa RITA aliingiziwa
shilingi milioni 40.4

Zitto: Ndg. Emmanuel Daniel Ole Naiko ambaye
alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa (TIC) aliingiziwa shilingi milioni 40.4

Zitto: Ndg. Lucy L. Appollo ambaye ni Mtumishi wa TRA aliingiziwa shilingi milioni 80.8.

Zitto: Viongozi wa Madhehebu ya
Dini walioingiziwa fedha na Benki ya Mkombozi ni Askofu 63
Methodius Kilaini shilingi 80.9

Zitto: Askofu Eusebius Nzigirwa shilingi milioni 40.4 na Mchungaji Alphonce Twimann Ye Simon shilingi milioni 40.4.

Zitto: Watu walienda kugawana fedha kwenye Benki tajwa wakiwa na mifuko ya rambo, sandarusi,
mabox, magunia na lumbesa TegetaEscrow

Zitto: Bilioni 73.5
zilitolewa na kugawanywa kwa watu mbalimbali kinyume cha
Sheria ya Benki Kuu na Taasisi za Fedha ya 2006

Zitto: Taarifa
ya benki (bank statements) yenye majina na akaunti zote
zilizoingiziwa fedha zimeambatishwa.

Zitto: Kamati imebaini mawasiliano kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
 
Hahahhah best best nakuona nakuona Hahahaha lol hongera kwa kuchota nitumie kidogo kwa mpesa
 
Jamani hivi kelele zote hizo ni shilingi ngapi
mm naona hela ya kitanzania ni 50m
hivi zile za Danilo yole Mbrazil wa D9 aliwapiga ngapi?
huyu Bw mdogo msameheni tu atakuja kulima kule Ruvu kwa trekta mtamkamata tu msihofu
 
Ooh kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…