Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Kama Tigo pesa na mpesa MTU anatoa pesa na accounts si zake huko bank atashindwaje.....watu Wa IT ni noma
 
Wacha tujichotee tu best maana hakuna namna [emoji38] [emoji38]
Lazima best upate hata mln 10 za mboga. Maana nimepanga niweke historia ya kutembeza mgao kama mabilioni ya Escrow
Alafu nimekutext WhatsApp unajifanya haujaona [emoji35] [emoji35]
Hahahahaha 10m mbona nitawehuka ngoja nitengeneze kabisa mkakati wa matumizi sio kwa mshiko huo. Lol best niliona nikatingwa nikasema nitakujibu nikapitiwa best usichukie kwa hilo ukaninyima mgao naanda sandarusi
 
Poleni wote mliolizwa.

Sasa kama mna hela nipeni mtaji tutie mikeka tu safari hii.

Upepo upo mikeka inatiki daily sema tatizo pesa ya madafu. Mtu anipe millioni 5 mwisho wa mwezi nimrudishie million 15.

Kama unabisha leta hela uone maajabu. Achana na forex sijui forest.. Njoo tubet
Yaani bet tamu sana odd zako 2 unatia milioni zako 5 unakula milioni 10 Mugu atupe nini mkuu...

Ngoja tuendelee kupambana na betting
 
Sijui kwa nini maono yangu yananiambia huyu anaejifanya mzigua nambari tisini ni dume ......
 
Back
Top Bottom