Sophoghani
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 395
- 622
[emoji23] [emoji23] mkuu msimchome moto alisema atarudi kuprove his legacy kwamba alikuwa na malengo ya kukomboa waTZ....Ni kinachonitisha ni hapo jp market kusema pesa zilikuwa haziwafikii...yaani hapo wameshawakana clients wao...mzigo wote wamewatupia TMT...na Cre kashakimbia bongo...Kilichobaki ni kumtafuta Ontario popote alipo hapa Tanzania na kumshughulikia mpaka atoe pesa zetu huyu tutamchoma moto
Wacha tujichotee tu best maana hakuna namna [emoji38] [emoji38]Hahahhah best best nakuona nakuona Hahahaha lol hongera kwa kuchota nitumie kidogo kwa mpesa
Wacha tujichotee tu best maana hakuna namna [emoji38] [emoji38]
Lazima best upate hata mln 10 za mboga. Maana nimepanga niweke historia ya kutembeza mgao kama mabilioni ya Escrow
Alafu nimekutext WhatsApp unajifanya haujaona [emoji35] [emoji35]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah,maisha hayaSasa hivi amerudi kwao Luchelele anakula numbu, soga na gogo mixer chima boyo. Ahahaha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaa ule ulikuwa uongo mzito sana "" tena wakiwango cha tani ...binafsi logic yake sikuiona maana jeshi la police nalo pia ni jeshi "" so unavua unavaa koti la police ili kuficha t.shirt ya jeshi la wananchi ili iweje ""? wakati hayo yote ni majeshi ya nchi na sheria za nchi zinakataza raia yoyote kuvaa nguo za hayo majeshi yote"" PALE ALIKUWA ANATAFUTA KUWA TEKA KIAKILI WATU ILI WAONE KUWA JAMAA ANAJULIKANA NA WAKUBWA "" SIWAJUA KUWA ALIKUWA ANASAFIRIA NYOTA YA KUJIFANYA KUWA YEYE NI USALAMA WA TAIFA...WAKUMBUKA MWANZO WA ILE STORY ANAJIFANYA KUWA ALIITWA NA MKUU WA USALAMA AKAWA ANATAKA AMUELEZEE KUHUSU MASUALA YA FX "" anajuwa fika ukitaka kuziteka akili za wabongo basiii jifanye upo karibu na watu ambao wananguvu ya ushawishi katika jamii"" na kweli katika hilo alifaulu """ hahaaa...basiii mimi nilivyoisoma ile story na kuona hayo matukio nika connect dots nikaona mmh hapa wanatafutwa wajinga ambao ndio huwa wali wa werevu "" "" nikajiuliza T.shirt ya jeshi na huyu mkubwa wa TISS wanaumuhimu gani wakuwepo ktika hii story """!!? kwanini asingekwenda straight tu nakutueleza dhamira ya maudhui yake ..mpaka kuanza kutupikia haya matukio...!?.."" mzee baba hadi hapo nikasema wacha nirushe mbawa mie maaana ndio sifa ya kunguru muoga "" hahaa mwisho wasiku waoga huwa wanasimama mbele ya nyumba zao nakuwaonyesha watoto wao makaburi ya mashujaa wao yalipo ""....hahaa
Anza na mimi😀😀 Nitafutie mama wa kanisa mwenye ushawishi kwanza aanze kutoa shuhuda nimembadili mengine yatajilipa kule MMU.
weye mama ya kanisa?
hivi mbona nikisoma comments za humu JF siku hizi naona aya ndefu ndefu hata hazisomeki?
mtu unaandika aya yenye mistari zaidi ya 10 wengine hadi 30. ndiyo hatujui tena kuandika au?
kwa hali hii kizazi kinaelekea pabaya. sitaki kuamini ni wazee wenzangu nyuma ya keyboard wanaandika hivi.Bora ukute hata hizo aya zimewekwa, kuna mwingine anaanza mpaka anamaliza bila aya.
kwa hali hii kizazi kinaelekea pabaya. sitaki kuamini ni wazee wenzangu nyuma ya keyboard wanaandika hivi.
hawa watakuwa hawa wa juzi tu.
Unaanza kuwehuka eeh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Haya tulikua hadi leo tuachane@mzigua90 akikuacha we mwanaume hatopata kama wewe wallah ,una busara sana Don
Yajayo yanafurahishaaaUnaanza kuwehuka eeh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Haya tulikua hadi leo tuachane
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
ahhahahaha awahi Mara ngapiOntario kama mjanja awahi border mapema
HahahaLabda mumlete na greda