[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yajayo yanafurahishaaa
Njoo PM nikupange ya kuongea!..
Mkuu huwaonei huruma watu waliolambwa vyao??Kama ni kweli haya yanayosemwa Nampa Hongera Ontario kwa akili kubwa na udogo ule kuliza watu wazima.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Akili kubwa ndio hiyooKama ni kweli haya yanayosemwa Nampa Hongera Ontario kwa akili kubwa na udogo ule kuliza watu wazima.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Hahahahaha 10m mbona nitawehuka ngoja nitengeneze kabisa mkakati wa matumizi sio kwa mshiko huo. Lol best niliona nikatingwa nikasema nitakujibu nikapitiwa best usichukie kwa hilo ukaninyima mgao naanda sandarusiWacha tujichotee tu best maana hakuna namna [emoji38] [emoji38]
Lazima best upate hata mln 10 za mboga. Maana nimepanga niweke historia ya kutembeza mgao kama mabilioni ya Escrow
Alafu nimekutext WhatsApp unajifanya haujaona [emoji35] [emoji35]
Eee hivi hiviiHahaha
Hahahaha wanajichotea tu si bora niwepo kwenye list nipate 10m ya mboga. Fursa baba yeyo haiji mara mbili
Sawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo PM nikupange ya kuongea!..
Mwanakulitaka mwanakulipata wapambane.Mkuu huwaonei huruma watu waliolambwa vyao??
Haki ana akili sana huyu mtoto. Sijui kwanini naona poa tu kama kala kweli [emoji16][emoji16]Akili kubwa ndio hiyoo
Yaani bet tamu sana odd zako 2 unatia milioni zako 5 unakula milioni 10 Mugu atupe nini mkuu...Poleni wote mliolizwa.
Sasa kama mna hela nipeni mtaji tutie mikeka tu safari hii.
Upepo upo mikeka inatiki daily sema tatizo pesa ya madafu. Mtu anipe millioni 5 mwisho wa mwezi nimrudishie million 15.
Kama unabisha leta hela uone maajabu. Achana na forex sijui forest.. Njoo tubet
Eeehh kijana balaa alivyoweka picha za marafiki wamepata magari SA. Mara ufugaji wa kuku mara kilimo aiseeKama ni kweli haya yanayosemwa Nampa Hongera Ontario kwa akili kubwa na udogo ule kuliza watu wazima.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Usihofu nitakuchagulia viwanja classic vya kwenda bila kuonekana ukiwa mama mchungaji.😀Sawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
We inaonekana umeliwa, mbona maneno mengi sana? Huko Dakar ndo waswahili wanakuwa hivyo? cool down and take it easy Jestkillafanya usifanye shauri ako oxygen ni bureeeeeeeeeeeee
AhahahahahhahaSijui kwa nini maono yangu yananiambia huyu anaejifanya mzigua nambari tisini ni dume ......
Baki na maono yako sisi tuendelee kufaidi.Sijui kwa nini maono yangu yananiambia huyu anaejifanya mzigua nambari tisini ni dume ......
Forex is not for everyone....Rudi chit chat!Ahahahahahhaha