[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baki na maono yako sisi tuendelee kufaidi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeLabda mumlete na greda
Ningekua dume ningeanza na wewe na Shunie humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahahahahahhaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katupunguzia competition huyo.
Nilitaka kumjibu hivyo hivyo.
Heeee kutufanya niniiNingekua dume ningeanza na wewe na Shunie humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Ontario hafugi tena kuku siku hizi?na ile formula yake cha chakula cha kuku anakwambia ni secret kama ilivyo formula ya kutengeneza coca-cola.
Nikikumbuka dogo alivyokua anaweka link za majarida ya kimataifa yakimuonyesha dogo kama THE NEXT BIG THING nacheka tu nikisema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Eti siruhusiwi kucheka jamani mimi ile slogan tu naipenda na inanipa rahaa sanaCc mama Sabrina
Nakuchanganya kivipi mrembo wa kizigua?Halafu wewe mbona unanichanganyaga
Karibu kwenye uwanja pendwa mkuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umemuona instagram bwana mdogo anakula maisha si kitoto....Mdogo sana ila ana akili na ninachompendea. Kuwapiga wajuaji kama wa JF sio jambo la kitoto
Hatuna uhakika cc LAKI si pesayajayo yanafurahisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wakati wanatuma screen shot za blue walituita tufurahie nao kwani?Laki si pesa Lowassa hajakugawia mipesa bado unahangaika na forex jamani
Ontario mshweeeeet
ukiitwa kwenye fursa ujue wewe ni fursa. ovaHatuna uhakika cc LAKI si pesa
MfyuuuuKumbe
KuwasalimiaHeeee kutufanya ninii
Mbona mipango adhimu hiyo
Unanijua wakati sikukumbukiNakuchanganya kivipi mrembo wa kizigua?
hahahahahah nacheka tu mwenyewe. Kama mazuri vile. Nitakapelekea chai kakikamatwa na Matunda π π π πNaunga mkono hoja... tukikamate kibold tukiweke ndani. Yani nashangaa mpaka muda huu tunakaachaje kawe huru... nashangaa sana.
Alafu nasikia siku hizi kako verified humu kabisa, kameturahisishia kazi ya kumjua.
Alafu mimi navijua hivi vijamaa vinapoishi, hicho kiontario kinakaa pale mbezi beach kwa Mwamunyange na hako kabold na kademu kake kanifah wanakakaa pale mbezi beach masana (sijui vimetoa wapi hela ya kuishi huko wakati juzi juzi tu vilikuwa vinaishi uswekeni). Kesho asubuhi fasta twende oysterbay tuwachukulie arabii.
Nasikia kesho hako kathe bold saa tisa katakuwa pale Mak Books mlimani city, kanataka vitabu vyake viwe vinauzwa pale (vitabu vyenyewe sivipendiiiii hata kama bado havijatoka). Sasa tunakaambush pale pale tunakakamata, tunakapiga makwenzi, tunakaweka selo.
Na hili swala lisiishie hapa jamani... taarifa itumwe interpol, FBI, CIA mpaka MOSSAD. Alafu haka kabold kakikamatwa tuombe kawe extradited kakafungwe Guatanamo Bay kaozee huko huko.
Yani siku nyingi sana sikapendi haka kathe bold... chenyewe kimeingia kwenye kumi na nane zetu. Tutakomeshe aisee
Mambo ya hela mi sitaki kabisaKaribu kwenye uwanja pendwa mkuu...