Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Anakula maisha na ana kile kitoto kizuri balaa. Hela za forex tamuu.Umemuona instagram bwana mdogo anakula maisha si kitoto....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakula maisha na ana kile kitoto kizuri balaa. Hela za forex tamuu.Umemuona instagram bwana mdogo anakula maisha si kitoto....
Wewe ni superstar huwezi kuwakumbuka wadau wako woteUnanijua wakati sikukumbuki
Superstar bongo?Wewe ni superstar huwezi kuwakumbuka wadau wako wote
Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu. Baada ya hili watakuja matapeli wengine watawapiga tuu. Hahahaha poleni wahanga woteMdogo sana ila ana akili na ninachompendea. Kuwapiga wajuaji kama wa JF sio jambo la kitoto
Ni yule ambaye picha yake ilizagaa humu waliichukia baada ya kulana vikojoleo kwenye Hotel....Anakula maisha na ana kile kitoto kizuri balaa. Hela za forex tamuu.
Mi mwl wng wa la 6 B alinambiaga NJIA RAHISI SANA YA KUPATA PESA NDIO NJIA RAHISI SANA YA KUFILISIKA!Mambo ya hela mi sitaki kabisa
Hahahaha jamaa alianzia mbali sana zile picha sijui yupo USA anatoa mada za ujasiriamali vijana wakahadaika wakamwona jiwe haswa Hahahaha Forex for realHivi Ontario hafugi tena kuku siku hizi?na ile formula yake cha chakula cha kuku anakwambia ni secret kama ilivyo formula ya kutengeneza coca-cola.
Nikikumbuka dogo alivyokua anaweka link za majarida ya kimataifa yakimuonyesha dogo kama THE NEXT BIG THING nacheka tu nikisema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Acha kudanganya watu humu!Wacha niendelee kuuza mkaa huku uswazi nitatoka tu
Na waendelee kupigwa. Kila ntu anatafuta pesa duniani. Ukiwa fursa usipanic na wewe tafuta mwingine umfanye fursa. Ila Ontario kanikosha jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watu na ujuaji wao na ukubwa wao wamekalishwa na mtoto mdogo sasa hiv wanalia lia tuNdege mjanja hunaswa na tundu bovu. Baada ya hili watakuja matapeli wengine watawapiga tuu. Hahahaha poleni wahanga wote
Hahahahaha mpaka ulikiwa unajiona tofauti wengine wamependelewa eeehhh utamu koleaAhahhahaahahahahahha forex is not for us
Mambo muzima weyeMfyuuuu
Ile wako washroom sijui? Aliipost mwenyewe insta. Mtoto mzuri kama yule watu wazima kibao wanaishia kumuona kwa dogo mjanja Ontario [emoji23][emoji23][emoji23]. Wamegeuzwa fursa dogo akaenda jikamatia mtoto mzuriNi yule ambaye picha yake ilizagaa humu waliichukia baada ya kulana vikojoleo kwenye Hotel....
Ngoja aendelee kuponda maisha na pesa za forex trader bhana....
Rahazizi asante kwa mapenzi uliyonipa juzi....mapenzi matamu kama mvumo wa radiKuwasalimia
Nasikia na wewe ulicheza mchezo wa FOREX ukajua ni VICOBA. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anakula maisha na ana kile kitoto kizuri balaa. Hela za forex tamuu.
Usichukulie udogo wake inategemea kajifunza kuanzia lini.Na waendelee kupigwa. Kila ntu anatafuta pesa duniani. Ukiwa fursa usipanic na wewe tafuta mwingine umfanye fursa. Ila Ontario kanikosha jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watu na ujuaji wao na ukubwa wao wamekalishwa na mtoto mdogo sasa hiv wanalia lia tu
Tatizo kudhani kila anachokifanya mwingine na wewe utakifanya kitakutoa.Mi mwl wng wa la 6 B alinambiaga NJIA RAHISI SANA YA KUPATA PESA NDIO NJIA RAHISI SANA YA KUFILISIKA!
Naumwa mieMambo muzima weye