Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Tutajenga bungallow sasa!.


We nae dume zima umekalia kusogoa na wana wake habari za kujichokonoa...
Huoni aibu mkuu?????
Watu wako serious na business matters, story za ushoga sio mahala pake hapa.
Wanaume wenzio wote tunakushangaa.
Au wewe ni mwanamke???
 
Ficha upumbavu wako...
Huu Uzi unahusu Forex and related issues.
Habari za madela, kuumwa sijui kujichokonoa nini anzisheni Uzi wenu.
Acheni upumbavu. People discuss serious matters here!!
Yajayo yanafurahisha?ama
Forex is not for everyone
 
Hivi Ontario hafugi tena kuku siku hizi?na ile formula yake cha chakula cha kuku anakwambia ni secret kama ilivyo formula ya kutengeneza coca-cola.

Nikikumbuka dogo alivyokua anaweka link za majarida ya kimataifa yakimuonyesha dogo kama THE NEXT BIG THING nacheka tu nikisema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Imfact dogo kakupiga gap na hizo mvi zako .

Acha chuki,punguza wivu .
 
We nae dune zima umekalia kusogoa na wana wake habari za kujichokonoa...
Huoni aibu mkuu?????
Watu wako serious na business matters, story za ushoga sio mahala pake hapa.
Wanaume wenzio wote tunakushangaa.
Au wewe ni mwanamke???
Bahati mbaya leo nina furaha, i won't mind you!.. Pole kwa kuibiwa
 
Templer ni broker wa hovyo kwenye upande wa customer service, kuweni makini sana. Nimedeposit hela tangu wiki iliyopita kwa kutumia Vodacom il haijasoma.


Kila siku wananizungusha. Wao templer na ipay africa hawajanisaidia chochote na sijapata msaada wowote kutoka templer zaidi ya kupigwa sound tu.


Please kuweni makini na templer hii sio mara ya kwanza kusumbuliwa. Ni broker tunaepaswa kufanya nae kazi kwa jicho la tahadhari kubwa mno.


Mwisho wa siku watanzania tutafute broker makini hawa wakina templer ipo siku tutakuja kusaga meno.
Sio kweli kama ilikuwa makini kwenye kutumia mpesa ulipaswa urudi katika member area yako kule u click "COMPLETE TRANSACTION " na pssa yako ingesoma in minutes .

Fanya hivo uone

Au ulikosea namba au step mahali
 
Back
Top Bottom