Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Kabisa navyoona hadi cnp kawa mkali hivyoYajayo hayafurahishi
Hahahahah mi nawaona humu akina mama kibao hahahahUzi umevamiwa na wakina mama wa tandale na mwananyamala. Ni story za kuuziana madela na ubuyu kwa kwenda mbele.
Aiseeeeh huyu Ontario atuombe radhi jamii ya forez traders kwa kuifanya forex ionekane ni upatu au vikoba vya kitapeli mpaka hawa wakina mama wamepata uwanja wa kupiga soga. Forex imepatikanika wallah.
Anyway ni suala la muda yatapita [emoji1]
Hapana ni dola zimeongezeka sasa hivi kwa siku wanapata milion 50 kuendeleaWamepigwa tena?[emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahahah mi nawaona humu akina mama kibao hahahah
Wanadhani forex ni kama vikoba na michezo ya kuzungusha hela .
Aisee minnamlaumu sana Ontario alifanya jambo LA maana sana kuleta hii kitu but Ku keep its good image amefeli pa kubwa sana .
Ina sasa akina asha ndala ndefu na akina juma mtimkavu wanatuponda watu wenye ujuzi kichwani wa hii money industry .
Halafu sasa walivyo wajinga wanadhani Ontario ndio founder wa forex katika hii dunia kama ilivyo D9 na takataka zingine .
Kumbe dogo kachukua ujuzi kati huko kaanzisha kikampuni chake ndo kimechafua hii kiwanda .
Halafu ukitaka uone watanzania wanachukia subria ufeli uone utasikia "Tulisema sisi...." Na blah blah kibao .
Wote wanoponda forex katika huu Uzi wanaatatizo yao yanawasibu .
Ontario uje utusafishie industry yetu beba mizigo yako ya TMT
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Yani mkuu nasoma meseji za hawa wakina mama nacheka na kusononeshwa pia, yaani leo hii forex inayohitaji akili kubwa inajadiliwa na wauza madela na pochi mitaa ya tandale. Hii ni dharau kubwa na dhambi itakayowatafuna tmt na Ontario mpaka mwisho wa dunia hii. Otherwise aje kutuliza hali ya hewa.
Hahaha Just HahahaKaka Mbona hata mwanzo tulikuwepo wakati yanaanza na watu wakatahadhalishwa mapema,hadi Mange nae akasema watu waache hayo mambo ni utapeli tapeli na kamali
Acheni basi au mukayajadili wasap kama hamtaki kutuona hapa jamani acha tuuze madela wenye akili kubwa endeleeni
"FOREX IS NOT FOR EVERYONE"
Haahahahahahahahah nakojooooooaaaaaaaaaaaaaaHahaha Just Hahaha
Can't Battle With Such a low minded Woman.
Bye.
Lakini pia CCNP Engineer ndie Padri Mcharo kama ulikua hujui zamani Padri alijiita Chief engineer....Ni huyu hapa Ndezi mmoja hivi Ushauri: Mimi mwajiriwa serikalini, nataka nichukue mkopo (kwa kutumia ajira yangu) kisha niache kazi
Kasome thread zake ucheke upasuke kama ana undugu na Deo kisandu vile.
Hata mi nashangaa watu wa jukwaa la mapaenzi na celebrity eti ndo wanajadili forex cha kushangaza hakuna wanalolijua halafu wamefuraaahi wenyewe utadhani forex ni TMT. Niendelee kuanalyse chart niwaache na uzi wenu.Uzi umevamiwa na wakina mama wa tandale na mwananyamala. Ni story za kuuziana madela na ubuyu kwa kwenda mbele.
Aiseeeeh huyu Ontario atuombe radhi jamii ya forez traders kwa kuifanya forex ionekane ni upatu au vikoba vya kitapeli mpaka hawa wakina mama wamepata uwanja wa kupiga soga. Forex imepatikanika wallah.
Anyway ni suala la muda yatapita [emoji1]
Forex is not for everyone 😀[emoji23]
Jamani kuimba kupokezana, mlipo anza na forex mliwakebei Sana na kauli za ajabu ajabu mara sjui forex is not for everyone, na kuna watu waliwashauri na kuwakanya kwa mifano mbalimbali mkapinga kwa jeuri sana, sasa Leo mmepigwa na Ontario mnakuja kulalamika inabidi muwaache ni zamu yao kuwakejeli,[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Yani mkuu nasoma meseji za hawa wakina mama nacheka na kusononeshwa pia, yaani leo hii forex inayohitaji akili kubwa inajadiliwa na wauza madela na pochi mitaa ya tandale. Hii ni dharau kubwa na dhambi itakayowatafuna tmt na Ontario mpaka mwisho wa dunia hii. Otherwise aje kutuliza hali ya hewa.
Mama sabrinaHata mi nashangaa watu wa jukwaa la mapaenzi na celebrity eti ndo wanajadili forex cha kushangaza hakuna wanalolijua halafu wamefuraaahi wenyewe utadhani forex ni TMT. Niendelee kuanalyse chart niwaache na uzi wenu.
Kwenye kudownload 1.5M per day walikuwa wenyewe, machungu tushee wote, upuuzi huo sasa!..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nachoshangaa wanataka tuhuzunike nao.
Heri mimi sijasema
Hahaha just HahahaJamani kuimba kupokezana, mlipo anza na forex mliwakebei Sana na kauli za ajabu ajabu mara sjui forex is not for everyone, na kuna watu waliwashauri na kuwakanya kwa mifano mbalimbali mkapinga kwa jeuri sana, sasa Leo mmepigwa na Ontario mnakuja kulalamika inabidi muwaache ni zamu yao kuwakejeli,
Angalieni the bold alivokuja kuwakejeli hapa coz anajua nn kinaendelea na anawaona wanaomuhusisha na upigaji huu ni wajinga
Yeah huyo ndio engineer wa kudownload millioni kwa siku forex!!.. Kapanic balaaHaahahahahahahah hivi ni yeye injinia kweli au nimemfananisha mi nilidhania atafrahia
Kaka Mbona hata mwanzo tulikuwepo wakati yanaanza na watu wakatahadhalishwa mapema,hadi Mange nae akasema watu waache hayo mambo ni utapeli tapeli na kamali
Acheni basi au mukayajadili wasap kama hamtaki kutuona hapa jamani acha tuuze madela wenye akili kubwa endeleeni
"FOREX IS NOT FOR EVERYONE"
Huyu fala nilimsanua mapema nikampa lonja juu ya utapeli wa dogo way back sana huyu fala akaniona mnafiki sitaki maendeleo yake akuishia hapo akaona amepata job full time akaacha na kibarua chake cha uinjinia majalala akakopa milion tano akazama TMT akausake utajiri..Jeff alivyo komando kipensi akamtengenezea na desk la kuwa anatredia pale jangid full time ili azae nae vizuri. Baada ya hapo the rest is history ya maumivu na umaskini. Nilimwambia dogo unakopa million tano unakimbia kazi unaenda kutrade really?...nilijua tu itafika kipindi dogo atatambua kwanini IDD Amini Dada aliitwa Dada ilhali ni wakiume..nilijua! Ahahaha! Jeff piga umbwa hii. Hii hapa sredi ya ushauri wa mkopo Ushauri: Mimi mwajiriwa serikalini, nataka nichukue mkopo (kwa kutumia ajira yangu) kisha niache kaziFicha upumbavu wako...
Huu Uzi unahusu Forex and related issues.
Habari za madela, kuumwa sijui kujichokonoa nini anzisheni Uzi wenu.
Acheni upumbavu. People discuss serious matters here!!