Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Wanatukazia sisi ambao hata wakipeleka police hatutakuwepo tutakuwa tunachangia tu kama hiviKuna wimbo wa Kimbunga anasema "mbongo muoga asikutishe ana hasira" the bold anakuja hapa wanafyata mikia afu wanajifanya kuwakazia wasio husika
Warudie vyeti vyao sasa!!.. Tatizo akili ya darasa ipo ya mtaani hakuna litaishia kuomba omba tu!..Ahahhaahahah leo imeshuka mpaka usd 30 kwa siku
Kutufanyaje mkuu jamani sema uwe dume halafu ukuje na mahela yako uliyopata forex kidogo naweza kukufikilia sio ukuje tu kengere zako tupu zinakuning'iniaNingekua dume ningeanza na wewe na Shunie humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti Humble siruhusiwi kucheka[emoji23][emoji23] nihuzunile tu mimiAnatamani hata zile hela za kulipia ada...angepewa muda huu akapate lunch maana kavurugwa empty stomach, empty wallet, empty head..karibu mjini dogo toka kwenu huko kishumundu. Na vyeti havimsaiidii yule aliekuwa anajipendekeza kwake kakwapua manoti yuko kwa madiba anakula good time.
Man Ontario anakesha clubbing tu SA ninamchoraga tu via WhatsApp.. Ninajisemea kimoyomoyo mkopo wa engineer majalala unachakazwa.
Akikujibu uniiteHeeee kutufanya ninii
Mbona mipango adhimu hiyo
Mbona wamebadilika hivi wamekuwa wakaliWarudie vyeti vyao sasa!!.. Tatizo akili ya darasa ipo ya mtaani hakuna litaishia kuomba omba tu!..
Katupunguzia competition huyo.
Nilitaka kumjibu hivyo hivyo.
Baki na maono yako sisi tuendelee kufaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui kwa nini maono yangu yananiambia huyu anaejifanya mzigua nambari tisini ni dume ......
Enjoy yourself bhana!Eti Humble siruhusiwi kucheka[emoji23][emoji23] nihuzunile tu mimi
Laki si pesa kawa mdogo kama pilitoni itakuwa huko tmt kuna ka uchawi sio bureSawa Mkuu umeeleweka taarifa umezitoa vizuri jinsi ya Kumkamata huyo The Bold,Kweli umewakamata Mazwazwa,Endeleeni kuwafanyia huo upuuzi mambwiga,Nimetoa ushauri tu kama Ontario hapatikani mshitakiwa namba mbili aunganishwe kwenye kesi,kama Clients wenu mliowapiga hawataki kuwakamata basi ni kheri kwenu.
CC: LAKI si pesa ona mnavyokejeliwa daaaaa
Unajua unapojadili hakikisha unakuwa na right informations. We unaandika hoja kama vile tmt na ontario unajua kwamba kuna magroup na watu wanafanya forex pasipo kuhusiana na huyo ontario kwa hiyo utasema hao pia wametapeliwa ?Jamani kuimba kupokezana, mlipo anza na forex mliwakebei Sana na kauli za ajabu ajabu mara sjui forex is not for everyone, na kuna watu waliwashauri na kuwakanya kwa mifano mbalimbali mkapinga kwa jeuri sana, sasa Leo mmepigwa na Ontario mnakuja kulalamika inabidi muwaache ni zamu yao kuwakejeli,
Angalieni the bold alivokuja kuwakejeli hapa coz anajua nn kinaendelea na anawaona wanaomuhusisha na upigaji huu ni wajinga
Hahahahah kumbe umefurahi basi endelea kufurahiMazigazi kaka ,mimi ni mweupe kabisa kuhusu forex ndio maana toka mwanzo mlituambia kuwa forex is not foreveryone mlipatia kabisa,mi hata ningekuja kule tuition TMT nisingeelewa chochote nimekome la saba tu, tena niliwatamania kweli nikafurahi nikasema ndugu zangu soon wanakuwa mabilionea
Acha tu tufurahi haya mambo yenu ya forex yanafurahisha mnoo ,yaan sisi mtuache tu ni akili ndogo mno
Mazigaz usikasirike acha tu tucheke
Akuje na pesa za forex kabisaa bila hivyo akae mbaki na sisi tuAkikujibu uniite
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijui kwa nini maono yangu yananiambia huyu anaejifanya mzigua nambari tisini ni dume ......
Mzigua90 ni kidume [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mnoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We kweli hulalamiki na sijawah ona ukilalamikaHahahahah kumbe umefurahi basi endelea kufurahi
Mimi TMT sikuwahi enda forex nimejifunza kwa kujisomea mwenyewe vitabu na naifanya kimya kimya .
Simdai Ontario hata sumni ila namlaumu kwa kushindwa kukeep good image ya forex
Leo hii mmeibuka watu kama nyie
I love u too HumbleEnjoy yourself bhana!
Yaliyopita si ndwele acha tufurahi tu maana hata tukichukia haisaidii lolote sababu ndo tayari tushapigwa tena wasukule. We were such a fool.
I love you!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama hana mahela apambane na hali yakeAkuje na pesa za forex kabisaa bila hivyo akae mbaki na sisi tu
Sawa siwezi bishana na Mbweha(B!T<h),Kuna Member katoa info ya Biashara zako,Wadada wanaofanya hizo Biashara ni Zaidi ya Mafioso,wana roho ngomu sana,najua kichwa kimeungua maana kufanya biashara ile kwa mtu mwenye akili za kawaida ni ngumu lazima kichwa kiwe kimevurugwa yaani lazima uwe na akili za kina Deo Kisandu,Dr Shika au Nabii tito,Hivyo siwezi bishana na watu wa type hizo maana ni kupoteza muda ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu au kumpigia mbuzi gitaa ukitarajia atacheza.mbuzi wewe mlishindwa fanya maandamano ya mange iwe ontario nenda kakojoe ulale mtu mwenyewe ujawaishika hata glock 9mm puuumbavu
Haaha hunishindi mmMzigua90 ni kidume [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mnoo