Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Kuna wimbo wa Kimbunga anasema "mbongo muoga asikutishe ana hasira" the bold anakuja hapa wanafyata mikia afu wanajifanya kuwakazia wasio husika
Wanatukazia sisi ambao hata wakipeleka police hatutakuwepo tutakuwa tunachangia tu kama hivi
Tena wala hawamuulizi aliemuuliza ni the Don tu na hahusiki kwenye forex zao
 
Anatamani hata zile hela za kulipia ada...angepewa muda huu akapate lunch maana kavurugwa empty stomach, empty wallet, empty head..karibu mjini dogo toka kwenu huko kishumundu. Na vyeti havimsaiidii yule aliekuwa anajipendekeza kwake kakwapua manoti yuko kwa madiba anakula good time.

Man Ontario anakesha clubbing tu SA ninamchoraga tu via WhatsApp.. Ninajisemea kimoyomoyo mkopo wa engineer majalala unachakazwa.
Eti Humble siruhusiwi kucheka[emoji23][emoji23] nihuzunile tu mimi
 
Sawa Mkuu umeeleweka taarifa umezitoa vizuri jinsi ya Kumkamata huyo The Bold,Kweli umewakamata Mazwazwa,Endeleeni kuwafanyia huo upuuzi mambwiga,Nimetoa ushauri tu kama Ontario hapatikani mshitakiwa namba mbili aunganishwe kwenye kesi,kama Clients wenu mliowapiga hawataki kuwakamata basi ni kheri kwenu.

CC: LAKI si pesa ona mnavyokejeliwa daaaaa
Laki si pesa kawa mdogo kama pilitoni itakuwa huko tmt kuna ka uchawi sio bure
 
Jamani kuimba kupokezana, mlipo anza na forex mliwakebei Sana na kauli za ajabu ajabu mara sjui forex is not for everyone, na kuna watu waliwashauri na kuwakanya kwa mifano mbalimbali mkapinga kwa jeuri sana, sasa Leo mmepigwa na Ontario mnakuja kulalamika inabidi muwaache ni zamu yao kuwakejeli,
Angalieni the bold alivokuja kuwakejeli hapa coz anajua nn kinaendelea na anawaona wanaomuhusisha na upigaji huu ni wajinga
Unajua unapojadili hakikisha unakuwa na right informations. We unaandika hoja kama vile tmt na ontario unajua kwamba kuna magroup na watu wanafanya forex pasipo kuhusiana na huyo ontario kwa hiyo utasema hao pia wametapeliwa ?
 
Mazigazi kaka ,mimi ni mweupe kabisa kuhusu forex ndio maana toka mwanzo mlituambia kuwa forex is not foreveryone mlipatia kabisa,mi hata ningekuja kule tuition TMT nisingeelewa chochote nimekome la saba tu, tena niliwatamania kweli nikafurahi nikasema ndugu zangu soon wanakuwa mabilionea
Acha tu tufurahi haya mambo yenu ya forex yanafurahisha mnoo ,yaan sisi mtuache tu ni akili ndogo mno
Mazigaz usikasirike acha tu tucheke
Hahahahah kumbe umefurahi basi endelea kufurahi

Mimi TMT sikuwahi enda forex nimejifunza kwa kujisomea mwenyewe vitabu na naifanya kimya kimya .

Simdai Ontario hata sumni ila namlaumu kwa kushindwa kukeep good image ya forex

Leo hii mmeibuka watu kama nyie
 
Hahahahah kumbe umefurahi basi endelea kufurahi

Mimi TMT sikuwahi enda forex nimejifunza kwa kujisomea mwenyewe vitabu na naifanya kimya kimya .

Simdai Ontario hata sumni ila namlaumu kwa kushindwa kukeep good image ya forex

Leo hii mmeibuka watu kama nyie
We kweli hulalamiki na sijawah ona ukilalamika
Ila mwanzoni na zamani uzi kama huu ungepambwa na picha zile za blue leo sioni hata moja,zamani watu wakisema tofauti na forex tu wanashushiwa picha za blue kwamba wamepiga pesa ,

Hatufurahii ila haya mambo yenu yanafurahisha kweli ghafla watu wamekuwa wadogoo kweli
 
mbuzi wewe mlishindwa fanya maandamano ya mange iwe ontario nenda kakojoe ulale mtu mwenyewe ujawaishika hata glock 9mm puuumbavu
Sawa siwezi bishana na Mbweha(B!T<h),Kuna Member katoa info ya Biashara zako,Wadada wanaofanya hizo Biashara ni Zaidi ya Mafioso,wana roho ngomu sana,najua kichwa kimeungua maana kufanya biashara ile kwa mtu mwenye akili za kawaida ni ngumu lazima kichwa kiwe kimevurugwa yaani lazima uwe na akili za kina Deo Kisandu,Dr Shika au Nabii tito,Hivyo siwezi bishana na watu wa type hizo maana ni kupoteza muda ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu au kumpigia mbuzi gitaa ukitarajia atacheza.
 
Back
Top Bottom