Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Hapa ndipo nnapoona Hawa wana forex ni waoga na wanafki wanawatukana wasio husika wakati the bold anakuja kuwakejeli hapa
 
Mbona wamebadilika hivi wamekuwa wakali
Jiwe aliposema hakuna hela ya bure wachape kazi, wakamuona fala wakaenda dhulumu vi millioni 5 wakaona viingi, kuinvest kwenye biashara hatari kama Forex.
Kumbe napo kuna dogo Engineer anaejua tumia fursa akawa vuta kila siku wanapata vilaki wanaona yees baadae kila wakiinvest account inaungua kuja shtuka wamebakiza elfu 5 ya vocha!.
Yani akili yalotumia pale Jangid ya kijinga sana, hata unapotaka fanya shopping unashauriwa kufanya 'window shopping' kwanza kutambua bidhaa unazotaka zinauzwaje sokoni lakini yenyewe yakaona huyo JP Market ndio mungu wao wa kudownlodia pesa pekee!..
 
Unajua unapojadili hakikisha unakuwa na right informations. We unaandika hoja kama vile tmt na ontario unajua kwamba kuna magroup na watu wanafanya forex pasipo kuhusiana na huyo ontario kwa hiyo utasema hao pia wametapeliwa ?
hiyo forex naijua way back Sana before Ontario lakini yeye alivo introduce hapa tulimbishia sana coz alidanganya umma kuwa ni issues simple
 
Duh Idd Amin aliitwa dada japo mwanaume?? [emoji23] [emoji23]
 
Laki si pesa kawa mdogo kama pilitoni itakuwa huko tmt kuna ka uchawi sio bure
Inasikitisha Sana Bwana Mdogo wa Miaka 23 asumbue watu wazima,angenitapeli mimi angeisoma namba Noah Nyeusi au Land Cruiser Nyeupe zingekuwa zimepiga kambi maeneo ya huko kwao Mbezi Beach,ni kukamata tu na kuweka ndani kwa kesi ya "WIZI WA KUAMINIKA" kama watu wa DECI wameshitakiwa itakuwa hao TMT?
 
Ndugu kukaa kimya ni vyema na busara sana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uhahahahahahahaha.....ndo maana hixi siku mbili tatu kuna mdau wangu ameanza kujiongelesha mwenyewe mtaani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi siwez kuwaacha mpaka mseme ni vipi mmeibiwa na Ontario. Kwani dolare zenu mlizokua mnaweka kwenye acc zenu zilikua zinaingia kwa Ontario? Na kama kweli mmeibiwa si mfuate utaratibu? Nitaelewa mmeibiwa kama mlimpa pesa zenu awasaidie kutrade ila kama mnatrade wenyewe mmeibiwaje hizo 50M?
 
Jamani nyie watu ahahah haahhahahahahaha mnaniuaaa muulize kisa ninii
 
Hahahaha jamaa alianzia mbali sana zile picha sijui yupo USA anatoa mada za ujasiriamali vijana wakahadaika wakamwona jiwe haswa Hahahaha Forex for real

Kama hii ndiyo point unayoitumia kumuita ontario tapeli nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri.
Mimi naamini tumeonyeshwa tu upande mmoja wa shilingi mnamuamini sana huyo Rea??
 
Haahhahahaha jamani Ontario hajatapeli watu ila wao tu nadhani ile akili kubwa walioisema si kweli hawakusoma tu vitabu
 
Kutufanyaje mkuu jamani sema uwe dume halafu ukuje na mahela yako uliyopata forex kidogo naweza kukufikilia sio ukuje tu kengere zako tupu zinakuning'inia
Forex sasa si ndo acc zishaungua ntakuja na majivu labda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
JF bana kila tarehe 12 hua naona sio nzur kwa bwana mdogo...
Toka 12 Dec mnamuandama bwana mdogo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…