Naunga mkono hoja... tukikamate kibold tukiweke ndani. Yani nashangaa mpaka muda huu tunakaachaje kawe huru... nashangaa sana.
Alafu nasikia siku hizi kako verified humu kabisa, kameturahisishia kazi ya kumjua.
Alafu mimi navijua hivi vijamaa vinapoishi, hicho kiontario kinakaa pale mbezi beach kwa Mwamunyange na hako kabold na kademu kake kanifah wanakakaa pale mbezi beach masana (sijui vimetoa wapi hela ya kuishi huko wakati juzi juzi tu vilikuwa vinaishi uswekeni). Kesho asubuhi fasta twende oysterbay tuwachukulie arabii.
Nasikia kesho hako kathe bold saa tisa katakuwa pale Mak Books mlimani city, kanataka vitabu vyake viwe vinauzwa pale (vitabu vyenyewe sivipendiiiii hata kama bado havijatoka). Sasa tunakaambush pale pale tunakakamata, tunakapiga makwenzi, tunakaweka selo.
Na hili swala lisiishie hapa jamani... taarifa itumwe interpol, FBI, CIA mpaka MOSSAD. Alafu haka kabold kakikamatwa tuombe kawe extradited kakafungwe Guatanamo Bay kaozee huko huko.
Yani siku nyingi sana sikapendi haka kathe bold... chenyewe kimeingia kwenye kumi na nane zetu. Tutakomeshe aisee