Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Haahhahahaha jamani Ontario hajatapeli watu ila wao tu nadhani ile akili kubwa walioisema si kweli hawakusoma tu vitabu
Kawatapeli bana!, hakuna haja ya kumpamba huyu. kausome uzi wa Humble African enzi hizo nae msukule wa Jangid [emoji23].
Wamepigwa kwenye zile decision za kuinvest hela!. kila hela ilokuwa inaungua alikua na commision yake!.
 
hiyo forex naijua way back Sana before Ontario lakini yeye alivo introduce hapa tulimbishia sana coz alidanganya umma kuwa ni issues simple
Nachoshangaa mm humu wana-MMU kuihusisha wana forex wote wa tz na ontario kiasi cha kwamba kila anayedeal na forex hapa basi katepiliwa na ontario.
 
Kama hii ndiyo point unayoitumia kumuita ontario tapeli nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri.
Mimi naamini tumeonyeshwa tu upande mmoja wa shilingi mnamuamini sana huyo Rea??
Hahahaha pole mkuu ndio maana ameitwa hapa tujui mbichi na mbivu. Mwanzoni akiona threads za malamiko anakuja kwa speed ya 4G. Mie sina chakupoteza hapo
 

Una uhakika alifanya hvyo? una uhakika kama alikopa pesa yake ipo Jp Markets? You don't have to generalize everything
 
Nachoshangaa mm humu wana-MMU kuihusisha wana forex wote wa tz na ontario kiasi cha kwamba kila anayedeal na forex hapa basi katepiliwa na ontario.
Most of them forex wameijua kupitia Ontario kwahyo haipingiki watu wamepigwa coz walikuwa kwenye njia zake,
NB: watu walishauriwa sana kuhusu tmt ya Ontario kuwa ilenge uhalisia isiwe Janja janja
 
Ngoja, ntaenda kumu interview badae.....kumbe sometimes uoga ni silaha nzuri saaaaaaaaana daaaaah
Kamuulize bana kwanini anaongea peke yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeona bwana. Sasa wao walikua wanafundishwa trading. Ina maana walikua na mkataba nae hata baada ya kumaliza kufundishwa. Sielewii
Baada ya mafunzo wanawekwa kwenye hayo magroup halafu wanakuwa wanapewa mikakati ya kuinvest, sasa hiyo mikakati ndio wizi ulipokuwa unafanyika mfano mnaambiwa soko lipo njema invest mkiweka kinaliwa kumbe mnapoliwa nyie hao mawakala kwao sherehe!!.. Na walikuja mtyt huyo dogo na akakubali.
Lakini hili la kuiba hela huyo ONTARIO badala ya kuja tolea ufafanuzi watu wajue mbivu anaemploy kukaa kimya bila tambua ndio kifo cha TMT!.. Ukikaa kimya ni sawa na huna jibu la kutoa wizi umefanyika.
 
Hizi ni kiki za forex kuitangaza, na kumtangaza Ontario, inaonekana wamemkubali dogo anapiga kaz vizur, acha wamtangaze kwa wabongo
Hizo ndo mbinu za international business
Ontario keshakuwa star mbona jina linakua nyota inang'aa
 
Naomba umseme vizuri Humble wangu usimchokozeeeeee
That's why I love you best..

hutaki nionewe kizembe kama vile Mimi nisivyopenda kuona mabaunsa wa nyuma ya keyboard wakikuonea. We got each others back swry lady.

Kijana nadhani amepata onyo aniache kijana wa watu humble and lovely.

I don't need no more trouble. Kutapeliwa inatosha kabisa.

Xoxo Mama Sabrina
 
TMT sio ya Ontario alikuwa tu mwenyeji wa Rea naamini Ontario akija kuna watu watakimbia humu, ukijaribu kukipa kichwa chako zoezi dogo ukaenda kwenye IG page ya Rea utaona kabisa yeye ni Jp Markets partner kwa hiyo hata yeye alipokuja tz alikuja kumtangaza broker.
Na ninaamini huyu msouth alikuwa akipiga pesa kwa siri ontario alipokuja kugundua na yeye akachota alichoona kinamtosha, hata huu ujumbe aliosema kila mteja atatumiwa na Jp Markets inaonekana ni watu wanaojuana wapo kimkakati. Kama anataka wateja wao wamuamini aonyeshe bank statement ya withdrawals zote zilizofanywa kama atawaonyesha.
Utabiri wangu kutokana na the bold alivyokuja Jf naona kuna madudu mengi yaliyofanywa na huyu msouth na yeye anayajua kiundani, ujio wa Ontario kujibu tuhuma hizi tutayajua mengi.
Niwasihi tu enedeleeni kutuma complaints zenu kwa regulator wa south FSCA link hii hapa chini haki yenu mtaipata
Complaints-Compliments-Feedback
au kupitia mawasiliano haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…