Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Wameanza leo wengine,,mi nimejitahidi mpaka saa 5 kwisha habari yangu[emoji23][emoji23][emoji23] nikaona nijilie tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....mgumba kapata ujauzito, mtaa mzima utajaa mate

Cc. Ushimen
 
Umeona inavyouma eeh!

We juzikati ulinifanya nini PM????
Witii jamanii nilivunga tu wit shoga angu huoni nilikufata haraka haraka sema nini shoga nikawa na vikazi vya hapa na pale mara nitrade fx ,nisamehe we rafiki wa miaka na miaka
Shunie nisaidieni jamanii
 
CCNP Engineer Naona umehamia kwenye kubett tena yaani we boya hukomi tu kutandikwa kizembe!? Unadanganywa kama wale watoto waliokuwa wakimuona Le mutuz amevaa shati lake lile kubwa la njano wanamkibilia wanadhani School Bus imefika kumbe njemba Le mutuz inakatiza. Ahahaha! Usione kila hela ukadhani zinachukuliwa kiwepesi sometimes ni akina Le mutuz wanakatiza we boya na mashati yao ya njano makubwa! Ahahaha

Mattet of fact, kuna time huwa napitia kusoma comments zako hadi nalazimika kuhoji juu ya uzima wa akili yako? Wewe injinia majalala huko timamu kweli?

Haya vipi umeshaacha kubett kama watoto wa La NNE B? Yaani eti injinia mzima anabett...we fala usiniquotes tena maandishi yangu maana unastahili kuargue na watoto wenzio wa Mwaneromango!

Blalifuli porokodiomadonna!
mkuu naona mmeama forex mmeanza kusutana nna mashaka na wewe
 
Back
Top Bottom