Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Wameanza leo wengine,,mi nimejitahidi mpaka saa 5 kwisha habari yangu[emoji23][emoji23][emoji23] nikaona nijilie tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....mgumba kapata ujauzito, mtaa mzima utajaa mate

Cc. Ushimen
 
Umeona inavyouma eeh!

We juzikati ulinifanya nini PM????
Witii jamanii nilivunga tu wit shoga angu huoni nilikufata haraka haraka sema nini shoga nikawa na vikazi vya hapa na pale mara nitrade fx ,nisamehe we rafiki wa miaka na miaka
Shunie nisaidieni jamanii
 
mkuu naona mmeama forex mmeanza kusutana nna mashaka na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…