Hata kesho mchumbaHahaha, mchumba kabisa tunaanzisha lini?
Na hakika milion 50 ndio atazitumia kama mtaji kulima mahindi na kufuga kuku so kwenye kuzirudisha sidhani na inaonekana jamaa alipata breakdown kubwa ndio maana akaamua kuchukua hizo milion 50....Usungura sungura tu hapa!!
Ndio maana tunasema hapa mjini akili, ukija na miguvu yako utalima lami... Kitu kibaya jamaa kawapiga tikitaka watz wenzie, kitu kikubwa jamaa nilimuona sungura toka nimemsoma kwa mara ya kwanza, sipendi watu wenye maneno mengi na wanaotumia nguvu nyingi kumuaminisha mtu juu ya jambo fulani.Na hakika milion 50 ndio atazitumia kama mtaji kulima mahindi na kufuga kuku so kwenye kuzirudisha sidhani na inaonekana jamaa alipata breakdown kubwa ndio maana akaamua kuchukua hizo milion 50....
Na kuhusu gari kuna uzi niliona anadai ndio ameenda kulichukua sijui Germany kitu 0 km kumbe sio lake maisha ya kuigiza sio mazuri kabisa.....
Naona kwenye maelezo yake hapo juu anasema siku za mbeleni atakuja kuandikwa kwenye kitabu cha kumbukumbu cha hapa tanzania na atakuja kukumbukwa sana kwa hapo baadae.....Ndio maana tunasema hapa mjini akili, ukija na miguvu yako utalima lami... Kitu kibaya jamaa kawapiga tikitaka watz wenzie, kitu kikubwa jamaa nilimuona sungura toka nimemsoma kwa mara ya kwanza, sipendi watu wenye maneno mengi na wanaotumia nguvu nyingi kumuaminisha mtu juu ya jambo fulani.
Ndio maana alikuja kuwacheka humu ila ye hahusiki ila alishawishi tu [emoji23][emoji23]Nimependa hyo screenshot yenye imoji ya moto, alafu msauzi anatujua kuwa sisi ni wanafiki, kamchana the italic wazi wazi bila ya kumficha unafiki wake
Sijaona maelezo ya kuchukua pesa[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu bwanaa
HhhaaaKaaanza mambo yake!
Atataka umtamfisirie[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio maana watu walikuwa wakali kweliMambo yanazidi kupamba motoo
Hiiv atawashawishi kina nani tenaa loNaona kwenye maelezo yake hapo juu anasema siku za mbeleni atakuja kuandikwa kwenye kitabu cha kumbukumbu cha hapa tanzania na atakuja kukumbukwa sana kwa hapo baadae.....
Ngoja tuone this time atakuja na ishu gani ambaye itamfanya akumbukwe....
Atakumbukwa kwa kuwapiga wenzie milion 50.Naona kwenye maelezo yake hapo juu anasema siku za mbeleni atakuja kuandikwa kwenye kitabu cha kumbukumbu cha hapa tanzania na atakuja kukumbukwa sana kwa hapo baadae.....
Ngoja tuone this time atakuja na ishu gani ambaye itamfanya akumbukwe....
Jamaa ana ushawishi mkubwa sana... akija na thread hapa za kuku na mahindi amezipangilia vyema na hakika kuna watu watamfuata for more detail....Hiiv atawashawishi kina nani tenaa lo
Cc baba swalehe achana na swalehe njoo huku
Kawakung'uta kweli?Atakumbukwa kwa kuwapiga wenzie milion 50.
Ndio kinachoonekana!Kawakung'uta kweli?
Pole yao hakikaNdio kinachoonekana!
inaonyesha nawewe ni moja ya wahanga.Hiiv atawashawishi kina nani tenaa lo
Cc baba swalehe achana na swalehe njoo huku
Esma kakamtwa yupo lock up!Hiiv atawashawishi kina nani tenaa lo
Cc baba swalehe achana na swalehe njoo huku