Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Usungura sungura tu hapa!!
Na hakika milion 50 ndio atazitumia kama mtaji kulima mahindi na kufuga kuku so kwenye kuzirudisha sidhani na inaonekana jamaa alipata breakdown kubwa ndio maana akaamua kuchukua hizo milion 50....

Na kuhusu gari kuna uzi niliona anadai ndio ameenda kulichukua sijui Germany kitu 0 km kumbe sio lake maisha ya kuigiza sio mazuri kabisa.....
 
Ndio maana tunasema hapa mjini akili, ukija na miguvu yako utalima lami... Kitu kibaya jamaa kawapiga tikitaka watz wenzie, kitu kikubwa jamaa nilimuona sungura toka nimemsoma kwa mara ya kwanza, sipendi watu wenye maneno mengi na wanaotumia nguvu nyingi kumuaminisha mtu juu ya jambo fulani.
 
Naona kwenye maelezo yake hapo juu anasema siku za mbeleni atakuja kuandikwa kwenye kitabu cha kumbukumbu cha hapa tanzania na atakuja kukumbukwa sana kwa hapo baadae.....

Ngoja tuone this time atakuja na ishu gani ambaye itamfanya akumbukwe....
 
Hiiv atawashawishi kina nani tenaa lo
Cc baba swalehe achana na swalehe njoo huku
 
mmh! ina maana kuna watu walizidiwa akili na huyo Ontario?

kwa mliolizwa inabidi mnote hii "hakunaga Pesa ambayo inakuja haraka bila kuitolea jasho hata siku moja"

poleni sana.
 
Back
Top Bottom