Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Hivi kawagonga kweeeliiiiii au maneno mneno tu?
Mkuu kawagonga wale waliokuwa wanatutambishia humu screen shot za trade zao imagine kawalamba 50m ondoa hela za loss walizokula toka mwaka jana ndio ujue jasho la watz kiasi gani limeliwa
 
Hii dunia ina vituko sana!

Hivi si kuna siku tuliambiwa mtu unatrade and after 1 week unapata 40m?

Asa mbona 50m ndo imekwapuliwa na account haina kitu?

Yaan 50m was seed capital for the company+ clients!
jina la tmt na Ontario lilivyokubwa hivi...hiyo 50 mil mbona ndogo sana.
Mkitulia na kumsoma Ontario vizuri mtapata majibu na kwanini kachukua hio 50m(kwa maoni yangu ni kosa).
Kuanzia November 2017 walikuwa wanapoteza hela kwa kasi ya 5g. Wanapata kwa 10pips ila wanapoteza kwa 100pips....does it ring the bell?

Kwa IQ yangu ya 25 nafikiri alichokuwa anatuhumiwa kufanya Ontario ndio na yeye alikuwa anafanyiwa au anahisi anafanyiwa.

Hint: Partner wake msauzi alilazimisha JP Markets ndio watumike.
 
huyu jamaa ni tapeli hako ka msemo the million team mwenyewe nilijua pesa kumbe idadi ya watu kwenye movement watakaopigwa
 
Hii dunia ina vituko sana!

Hivi si kuna siku tuliambiwa mtu unatrade and after 1 week unapata 40m?

Asa mbona 50m ndo imekwapuliwa na account haina kitu?

Yaan 50m was seed capital for the company+ clients!
yaani imekwapuliwa 50m hakuna mtu nayeweza withdraw hata lakimoja akaunti haina kitu
 
Kwa hizo screenshots na maelezo ambayo niliyaskia mwenyewe kwa ONTARIO ni hivi...

chalii kwa maoni yangu alikuwa na malengo mazuri(good intentions( kabisa ya kuanzisha kampuni.

kwanza afaidike yeye na pia Clients mfaidike. Tatizo likaja alioingia nao mkataba ni lazima akubaliane na conditions zao maana kazi asingeweza kuifanya mwenyewe.

Mwishoni mwa mwaka jana hali ya TMT ikawa mbaya. wenye share kila mmoja anaangalia cha kuchukua mapema asiachwe fukara.(ndiyo mnaona mambo ya gari).

Kijana kuona anapoteza kila kitu alichowekeza bora a-withdraw pesa ndizo zitamfaa maana huku kaitwa tapeli kule kwenye kampuni nako anakosa na account zilimuendea vibaya.

sitaki kusema ni vibaya au vizuri ila ndiyo silaha aliyobaki nayo kujihami asiachwe hana kitu.
 
Nimekuelewa vizuri....

Je hela za clients ziko salama?
 
Tukitumia upembuzi yakinifu, ukikutana na Mwenyekiti wa kamati ya JLW anasema kuna wizi sehemu ogopa sana!..
Nadhani watafata ushauri wako mwenyekitiπŸ™‚πŸ˜€
 
Naona kwenye maelezo yake hapo juu anasema siku za mbeleni atakuja kuandikwa kwenye kitabu cha kumbukumbu cha hapa tanzania na atakuja kukumbukwa sana kwa hapo baadae.....

Ngoja tuone this time atakuja na ishu gani ambaye itamfanya akumbukwe....
Kwani ukisikia Forex unamuona nani!?... Huyu mbona kashaandikwa kwenye historia za Forex bongo!.πŸ˜€
 
Someni hizo screenshot vizuri, someni statement ya Ontario......INAWEZEKANA hata Ontario na yeye kapigwa na inaweza kuwa sababu ya yeye kuchukua hio irrational decision.
kwa hizo screenshot naona ONTARIO ni muhanga wa some unknown acts lakini kilichotokea akaact soo fast bila kufikiri akachota mzigo wa jumuiya!.
Sasa kaangushiwa Jumba bovu, yeye ndio anaonekana tapeli.
Maamuzi yake yamemponza!.
 

katika mijitu pumbavu wewe ni mmoja wapo kiazi kabisa kama hujui si utulie tu, eti cre shenzi kabisa cre mwanamme sio kama huyo dogo kakimbia kapotea, cre bado yuko pale na anaendelea kutafuta salution za watu at least unaweza mpa credit, huyu ndugu yako jeff yuko wapi, sisi wakati tunaingia kwenye hii kitu cre alikuwepo au wewe ulikua unamjua, ni nani aliekua anaandika ma article makuuubwa hapa kuconvice watu wajiunge na huo upatu wake halafu unakuja kutuambia dogo anasingiziwa yuko wapi leo kwa nini kaenda mafichoni, hivi kama wewe una issues na directors wenzako hapo wateja na mali zao zinaingiaje umechukua mpaka hela za wateja umekimbia unasema hana kosa how about us hela zetu tumeambiwa hatupewi sababu dogo kachukua zote kwa acc hakuna hela ya ku withdraw kwa client

pumbafu kabisa we man
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sipigwi kizembe weuwee!

BTW angalia post hapo juu ya SON OF THE LAND
haha.. mimi sihesabu kama wamepigwa otherwise kama angekuwa na lengo la kupiga...

ila mapungufu ya mipango ndiyo imefanya ionekane kapiga watu.
 
Mililion 50 ni kiasi cha jumla za clients wote wa TMT? Kama ni hivyo basi watu wameunguza akaunt sana maana nakumbuka deposit walikuwa wanasajesti walau $100, sasa na ile idadi ya wanafunzi duu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…