Nrangoo
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 3,407
- 5,418
Kakutapeli nini unatokwa povu mkuuTempler ni tapeli tu, kama matapeli wengine, spread kubwa mno, huu ni moja ya utapeli, kigezo cha mpesa kisiwe kigezo cha kutaka kuwaaibiwa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakutapeli nini unatokwa povu mkuuTempler ni tapeli tu, kama matapeli wengine, spread kubwa mno, huu ni moja ya utapeli, kigezo cha mpesa kisiwe kigezo cha kutaka kuwaaibiwa watu
Mkuu kawagonga wale waliokuwa wanatutambishia humu screen shot za trade zao imagine kawalamba 50m ondoa hela za loss walizokula toka mwaka jana ndio ujue jasho la watz kiasi gani limeliwaHivi kawagonga kweeeliiiiii au maneno mneno tu?
Kiufupi ni tapeli ova.Kakutapeli nini unatokwa povu mkuu
Hii dunia ina vituko sana!
Hivi si kuna siku tuliambiwa mtu unatrade and after 1 week unapata 40m?
Asa mbona 50m ndo imekwapuliwa na account haina kitu?
Yaan 50m was seed capital for the company+ clients!
Mkitulia na kumsoma Ontario vizuri mtapata majibu na kwanini kachukua hio 50m(kwa maoni yangu ni kosa).jina la tmt na Ontario lilivyokubwa hivi...hiyo 50 mil mbona ndogo sana.
huyu jamaa ni tapeli hako ka msemo the million team mwenyewe nilijua pesa kumbe idadi ya watu kwenye movement watakaopigwaTapel n level ya juu kabisa katka unyanganyi
Picha linaanza
TMT, clients wake walijua the million team, kwamba hyo team watakua watu wa kushka millions tu. Na yeye hakuwaambia chochote
Pcha linaungua
TMT, the million team kwamba team itakayokua na watu weng kama million iv na sio million za ela wala utajir
Huu mkasa tuutengenezee series kabisa wema,ray,jb... wakauze maana n noma
Acha kupanick mzee, chukua muda kujifunza jambo kabla hujaropoka, Hii itakusaidia Sana katika maisha yakoKiufupi ni tapeli ova.
yaani imekwapuliwa 50m hakuna mtu nayeweza withdraw hata lakimoja akaunti haina kituHii dunia ina vituko sana!
Hivi si kuna siku tuliambiwa mtu unatrade and after 1 week unapata 40m?
Asa mbona 50m ndo imekwapuliwa na account haina kitu?
Yaan 50m was seed capital for the company+ clients!
Na zile 40M walizokuwa wanaingiza kwa kila week wakitrade?yaani imekwapuliwa 50m hakuna mtu nayeweza withdraw hata lakimoja akaunti haina kitu
Nimekuelewa vizuri....Kwa hizo screenshots na maelezo ambayo niliyaskia mwenyewe kwa ONTARIO ni hivi...
chalii kwa maoni yangu alikuwa na malengo mazuri(good intentions( kabisa ya kuanzisha kampuni.
kwanza afaidike yeye na pia Clients mfaidike. Tatizo likaja alioingia nao mkataba ni lazima akubaliane na conditions zao maana kazi asingeweza kuifanya mwenyewe.
Mwishoni mwa mwaka jana hali ya TMT ikawa mbaya. wenye share kila mmoja anaangalia cha kuchukua mapema asiachwe fukara.(ndiyo mnaona mambo ya gari).
Kijana kuona anapoteza kila kitu alichowekeza bora a-withdraw pesa ndizo zitamfaa maana huku kaitwa tapeli kule kwenye kampuni nako anakosa na account zilimuendea vibaya.
sitaki kusema ni vibaya au vizuri ila ndiyo silaha aliyobaki nayo kujihami asiachwe hana kitu.
Tukitumia upembuzi yakinifu, ukikutana na Mwenyekiti wa kamati ya JLW anasema kuna wizi sehemu ogopa sana!..Ndio maana tunasema hapa mjini akili, ukija na miguvu yako utalima lami... Kitu kibaya jamaa kawapiga tikitaka watz wenzie, kitu kikubwa jamaa nilimuona sungura toka nimemsoma kwa mara ya kwanza, sipendi watu wenye maneno mengi na wanaotumia nguvu nyingi kumuaminisha mtu juu ya jambo fulani.
Kwani ukisikia Forex unamuona nani!?... Huyu mbona kashaandikwa kwenye historia za Forex bongo!.😀Naona kwenye maelezo yake hapo juu anasema siku za mbeleni atakuja kuandikwa kwenye kitabu cha kumbukumbu cha hapa tanzania na atakuja kukumbukwa sana kwa hapo baadae.....
Ngoja tuone this time atakuja na ishu gani ambaye itamfanya akumbukwe....
Huoni Italic anafanya kusahihisha zirudi mkuu!.. Hii ni Kekundu tayari!..Hivi kawagonga kweeeliiiiii au maneno mneno tu?
kwa hizo screenshot naona ONTARIO ni muhanga wa some unknown acts lakini kilichotokea akaact soo fast bila kufikiri akachota mzigo wa jumuiya!.Someni hizo screenshot vizuri, someni statement ya Ontario......INAWEZEKANA hata Ontario na yeye kapigwa na inaweza kuwa sababu ya yeye kuchukua hio irrational decision.
Humu naona watu wengi wanaocomment kwa hasira bila hata kuwa na abc ya tukio wala kufahamu chochote.
Binafsi sijafungamana na upande wowote ila mbona wote mnaonyesha hasira na dogo Ontario? Mbona sijaona mtu alieonyesha hasira kwa Createn?
Tatizo watanzania ni wavivu wa kufikiri so mtu akisikia tu kichaa flani anasema Ontario kakimbia na hela zetu naye analibeba hivyo hivyo without processing or filtering the info using his/her f* brains.
I have been watching this saga for a while without saying a word but today I have personally decided with my rightful mind to give my opinions on this matter. Though I know a lot of naysayers will start coming with blah blahs.
And For this who will think I have personal interests with TMT, the truth is I have never been in or associated in any way with TMT. I have decided to make my self clear on that coz I know Tanzanians.
Cheers[emoji178]
Wishing y'all a productive week
XTAPER.
swali ngumu...Nimekuelewa vizuri....
Je hela za clients ziko salama?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sipigwi kizembe weuwee!swali ngumu...
kuna twakwako wit?
haha.. mimi sihesabu kama wamepigwa otherwise kama angekuwa na lengo la kupiga...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sipigwi kizembe weuwee!
BTW angalia post hapo juu ya SON OF THE LAND
Mililion 50 ni kiasi cha jumla za clients wote wa TMT? Kama ni hivyo basi watu wameunguza akaunt sana maana nakumbuka deposit walikuwa wanasajesti walau $100, sasa na ile idadi ya wanafunzi duu.katika mijitu pumbavu wewe ni mmoja wapo kiazi kabisa kama hujui si utulie tu, eti cre shenzi kabisa cre mwanamme sio kama huyo dogo kakimbia kapotea, cre bado yuko pale na anaendelea kutafuta salution za watu at least unaweza mpa credit, huyu ndugu yako jeff yuko wapi, sisi wakati tunaingia kwenye hii kitu cre alikuwepo au wewe ulikua unamjua, ni nani aliekua anaandika ma article makuuubwa hapa kuconvice watu wajiunge na huo upatu wake halafu unakuja kutuambia dogo anasingiziwa yuko wapi leo kwa nini kaenda mafichoni, hivi kama wewe una issues na directors wenzako hapo wateja na mali zao zinaingiaje umechukua mpaka hela za wateja umekimbia unasema hana kosa how about us hela zetu tumeambiwa hatupewi sababu dogo kachukua zote kwa acc hakuna hela ya ku withdraw kwa client
pumbafu kabisa we man