binafsi "" mimi nilikuwa kama wewe maana nilishtuka na zile takwimu zake za kupika...nikajikuta nakosa uaminifu "" dhidi yakeOntaria ...siku ya kwanza tu ....nikivyoona anapost post Mara analima anapata matrcta nn ...nikaona dogo tapeli wa kutupa...
Maneno mataaamu
haha hahaaNakosaje sasa habari Mimi mwanahabari nguli kuliko pascal mayalla?
Relax.. Show inaanza sasa!?
Mbona kitambo walisema alijivua u dairekta akaenda sauzi? Hawa, inawezekana wanamchafua tu mwenzao au ni mbinu tu wako pamoja kwenye kupiga hizo hela, but one thing for sure, hela za watu zitapigwa..Mil 50 usawa huu.
Jamaa yupo malawi muda huu
We wala huna haja ya kusumbuka kuamini, we endelea tu kuwekeza kwenye hiyo forex, hata kama kasepa nazo kesho uta trade za kutosha tu, hahaaaahaaaaaaaamie nitajuaje hio message ni original na sio imetungwa kumchafua mtu wa watu?
Juzi juzi alikuwa anatafuta mkopo wa milioni 5 sijui alifanikiwa??Ahahaha!! Huwa unanifurahisha sana we jamaa yaani akili zako huwa fupi kama maisha ya funza..you can't comprehend my intellect and sophistication hata theluthi.
Wadau mnaoufahamu huu msukule Hebu njooni muunyooshe kwa kufukua yale makaburi yanahohusu. Unataka kufurukuta hapa? Ahahaha!
Siku hizi hawaonekaniha ha ha ha tuliitwa haters enzi zetu na wazee wa ma screen shot ya kudownload hela
Email sending feeJamaa kala vichwaView attachment 776894
Yule dogo Ontario huwa akiandika anahakikisha anaziba mianya yote ya maswali na doubts juu yake hivyo unakuwa huna option ya kukataa zaidi ya kumuamini tu. Style hizi za uandishi wanabarikiwa wachache tu.Ontaria ...siku ya kwanza tu ....nikivyoona anapost post Mara analima anapata matrcta nn ...nikaona dogo tapeli wa kutupa...
Maneno mataaamu
Thread ya kupinga utapeli,wewe unaitumia kutapeli yani huna tofauti na muuza jeneza kunadi bidhaa zake msibani!Pata unlimited data /data isiyo na ukomo tumia hata 10000GB kwa siku.
Mwezi 1=9,000
Miezi 3=17,000
Mtandao wowote.
Wasiliana nami 0621 072 026
Ni nani huyu jamaa?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahahaha!! Huwa unanifurahisha sana we jamaa yaani akili zako huwa fupi kama maisha ya funza..you can't comprehend my intellect and sophistication hata theluthi.
Wadau mnaoufahamu huu msukule Hebu njooni muunyooshe kwa kufukua yale makaburi yanahohusu. Unataka kufurukuta hapa? Ahahaha!
eh eh inanikumbusha ile kesi ya wachungaji kwa kakobe walipoenda mahakamani wakaambiwa memorundum inasema pesa ni mali ya mmiliki wa kanisa ambaye ni kakobe wao hawana kituMTU anawezaje kutoa hela bank kama sio zake?
Au huko MNA utaratibu gani
Una share tmt mkuu, maan ni ww mwnyw unamtetea!!,,, dogo kashashtukiwa sku nyingi kwmb ni tapeli, we unafkr anasingiziwa????!!Una ushahidi mkuu tusubiri taarifa kutoka kwake na mamlaka husika huenda hizi ni mbinu tu za kuendelea kuchafuana si unajua hiyo ni biashara
yaani na wewe ..uliingia kwenye huo mkumbo""?