Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Tena na hiyo arrangement ya kuweka hela kupitia TMT mm ndo nashindwa kuelewa,broker ana option ya wewe kudeposit straight kwnn utumie MTU mwingine tn!?Niliwambia watu kwenye thread moja kua kitendo cha kukubali kutrade na JP market kwa kupitia middle man aka introducing broker, IB ambaye ni TMT ni kutafuta matatizo pale watakavyokua na mgogoro wa kimaslahi ila watu wakaleta kejeli kwa kupost blue screenshots kama wenyewe wanavyoita. Sasa kwa heshma na taadhima wakapambane na hali zao pumbav
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ontaria ...siku ya kwanza tu ....nikivyoona anapost post Mara analima anapata matrcta nn ...nikaona dogo tapeli wa kutupa...
Maneno mataaamu
Hakuna mteremko Katika kutafuta mafanikioAchana na jp market,, kuna Templer FX Trader hana longolongo nyingi , unapokea pesa kwa mpesa muda huohuo ,, mm nawashangaa watu kila siku wamejazana pale FNB ,,
Can you predict day and time of that thing?I saw it coming
Kwa tusioelewa hii mambo acha tubaki kwenye Kubeti tu.
Ni kweli amesepa nazo au anawarudishia jamaa kimyakimya?Ubongo mkubwa ukielekezwa kwenye wizi ndo haya hutokea.
Kwaiyo Tickmill ni uhakika kuliko Templer?*STICK WITH BIG BROKERS, WHO ARE PROMINENT & HAVE BEEN TRIED & TESTED ALREADY. BEYOND REASONABLE DOUBT THEY ARE PROVED TO BE HONEST, PURE ECN,SMALL SPREADS FROM ZERO, OPEN & TRANSPARENT.*
*TO OPEN LIVE ACCOUNT & IF YOU WANT ME TO GUIDE YOU THROUGHOUT THE WHOLE PROCESS TILL YOU HAVE REACHED MT4 LIVE ACCOUNT. TICKMILL IS THE LEADING BROKER.*
*FEEL COMFORTABLE BY REGISTERING YOURSELF USING THE LINK BELOW.*
_*MEMBERS* USE THIS LINK_
https://secure.tickmill.com/redirec...ure.tickmill.com/trader/?task=1050&lang=2
*NOTE*
Below are the main points why to use Tickmill:
IpayAfrica mobile deposit / withdrawal option ( by next week will be available )
Those who will register with Tickmill using that IB link will get a discount on the commission charged on their trading activity on Pro account
Excellent trading conditions
Fast execution
Spreads from 0.0
85 Trading Instruments
No requotes
Negative Balance protection
Strong regulation
Segregated accounts
Industry Awarded
EAS and Algos Allowed
Fast withdrawals without commissions
Support in 15 languages via Chat, online message, email and phone
Mon-Fri 07:00-20:00 (GMT)
Wote wako vizuri ,tofauti Tickmill mtaji wa kuanzia minimum anahitaji $100 wakati templer yeye hata $1 anakubaliKwaiyo Tickmill ni uhakika kuliko Templer?
I prefer tickmill sababu ana licence ya FCAKwaiyo Tickmill ni uhakika kuliko Templer?
Kwaiyo templer hana iyo leseni mkuu? Nini madhara yake? Kwamba ni tapeli, muongo muongo auI prefer tickmill sababu ana licence ya FCA